Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyiny tatizo lenu ukweli mnauficha,yaan mnabaki nao moyoni,harafu kwa nje ndo mnajimwambafai et kwa kusema mchepko Hana nafas kwa mke!! Ni uongo mno tena mno
Sharti la kwanza...Mchepuko anatakiwa kujua mkeo/mumeo ni wa thamani kuliko yeye.
Pili, mkeo/mumeo Hana madhaifu yeyote ni basi tu wewe shetani kakupitia na umekubali akupitie ndio maana upo nae.
Tatu, ya nyumbani kwako, watoto na mke/mume hayamuhusu, akipata muda wa kuwa na wewe autumie vizuri na wewe maswali apeleke mahakamani.
Nne, Atambue hataweza kukutenganisha na mke/mumeo.
Tano, asijaribu Kwa namna yeyote kufanya chokochoko Kwa mke/mumeo maana mahusiano yenu ndio yataishia hapo na utamkana mara tatu kabla jogoo hajawika.
TheChoji,Mkuu sijui kama wewe ni mwanaume au mwanamke, ila inaelekea kuna vitu huvielewi kuhusu sisi wanaume.
1. Unachanganya swala la KUPENDA na NGONO. Mchepuko hua HAPENDWI, yule ni kitulizo tu cha TAMAA zetu za kimwili. Ndio maana ni nadra sana kukuta mwanaume anaacha mke na KUOA mchepuko (japo exceptions zipo).
2. Unachanganya kati ya KUMUAMBIA mwanamke kwamba unampenda, na KUMPENDA. Kumuambia mchepuko kwamba unampenda haimaanishi kwamba ni kweli unampenda, unamwambia hivyo ili kunogesha tendo tuu maana ungekua unampenda kweli ungemuacha mkeo umuoe yeye.
3. Unachanganya kati ya KUMHUDUMIA mwanamke na KUMPENDA. Mkuu, hivi ni vitu viwili tofauti kabisa! Mchepuko anahudumiwa kwasababu ITS BUSINESS. Yeye anakupa huduma, wewe unamjali. Ndio maana hata wamama wanaotoka na viserengeti boys wanavihudumia pia, haimaanishi wanavipenda, hell NO!
4. Una GENERALIZE kwamba wanaume wote tunahonga na kubembeleza michepuko simply kwasababu kuna KABILA moja ulilotaja ambalo wakivuna wanahonga. Mkuu, Tanzania tupo wanaume 30milion. Katika hao usitegemee kukosa WAJINGA WAJINGA kadhaa ambao wanashikwa masikio, that doesnt mean WOTE tuko hivyo!
5. Mwanamke yeyote MJANJA anapotoka na mume wa mtu, cha kwanza ni kuhakikisha ANALINDA ndoa ya huyo mume wa mtu. Hii itamsaidia yeye kuendelea ku enjoy benefits za kuwa mchepuko kama vile kuhudumiwa nk. Wanawake wajanja wengi hawapendi kuvunja ndoa za michepuko yao maana wao wenyewe hawataki kuolewa na hiyo michepuko! Wanajua wakishaolewa na wao watageuzwa mke na kutafutiwa michepuko ambako huduma zitahamia huko! Ukiona mwanamke anakulazimisha uachane na mkeo, au anajilinganisha na mkeo, ujue huyo ama HANA AKILI, au haelewi hii gemu inavyochezwa (labda ni katoto bado).
6. Sio kila mwanaume ameumbwa kuchepuka. Wewe ukijiona una roho ya KUPENDA PENDA, huruma, kubembeleza sana nk achana na swala la michepuko tulia na mkeo. Kuchepuka ni sayansi na sanaa ya ku balansi kati ya UPENDO na UBANDIDU yaani mguu ndani mguu nje na kuwa tayari kubwaga manyanga at anytime with no hard feelings.
Sasa nawe inakuwaje upo na mchepuko unapiga story kuhusu mkeo??Wew michepuko yako huwa inakuulizaje mkuu mkiwa mnapga stor nayo ?
Muone[emoji23]. Huwezi jibu hivyoHata siku moja mchepuko hapati sifa sawa na main mamsapu, daima mamsapu huwa yupo juu.. jibu langu huwa namuambia hapa tunapumzikiana ila sina upendo wala nini, twapeana kisela..
Usiwe unajibu maswali ya kijinga.Uwe unacheka tu.Habarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole.
Nisiwapotezee muda niende kwenye mada:
Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi kukutana na maswali mengi Sana kutoka kwa mchepuko wako yanayohusu familia yako wakiwemo mke na watoto. Pia Kama mnavyojua kwa sis wanaume michepuko huwa tunaibembeleza Sana na huonesha Waz kuwa tunaipenda kuliko wake zetu.
Mchepuko akikuuliza maswali haya utamjibu nn?
• Namzidi nini mkeo au mmeo mpaka umeamua kunipenda?
•Kati ya mimi na mmeo au mkeo Nani anakuridhisha Zaidi kimapenzi?
Hahahah....si nimetoa tu maoni jamani.Mzoefu kwenye moja mbili [emoji1][emoji1]
Una wake wengi mkuu??Ndivyo nilivyo aiseee. Sina muda wa kuwajadili wake zangu na michepuko.
Naweka wazi kabisa ya kwamba ya nyumbani kwangu hayahusiani kabisa na wao, tena akitokea yeyote amejikanganya kusogeza pua lake kuhusu wake zangu, ndo inakuwa mwisho wa uhusiano wangu na yeye.
Umeeleza vzur Sana mkuu,mmepata SoMo,ingawa maoni yako hayawez kufany Kaz kwa wanaume wengi au wanawake wengi,yaan ni wachache Sana wanaoweza kuwa na hayo mawazo!!!! Kuna jamaa alikuwa anatembea na mke wa mtu,Mara nying Sana huyo jamaa alikuwa analetewa zawad nying Sana na yule mwanamke,pia ailikuwa anaambiwa nakupenda kuliko mme wanguMkuu sijui kama wewe ni mwanaume au mwanamke, ila inaelekea kuna vitu huvielewi kuhusu sisi wanaume.
1. Unachanganya swala la KUPENDA na NGONO. Mchepuko hua HAPENDWI, yule ni kitulizo tu cha TAMAA zetu za kimwili. Ndio maana ni nadra sana kukuta mwanaume anaacha mke na KUOA mchepuko (japo exceptions zipo).
2. Unachanganya kati ya KUMUAMBIA mwanamke kwamba unampenda, na KUMPENDA. Kumuambia mchepuko kwamba unampenda haimaanishi kwamba ni kweli unampenda, unamwambia hivyo ili kunogesha tendo tuu maana ungekua unampenda kweli ungemuacha mkeo umuoe yeye.
3. Unachanganya kati ya KUMHUDUMIA mwanamke na KUMPENDA. Mkuu, hivi ni vitu viwili tofauti kabisa! Mchepuko anahudumiwa kwasababu ITS BUSINESS. Yeye anakupa huduma, wewe unamjali. Ndio maana hata wamama wanaotoka na viserengeti boys wanavihudumia pia, haimaanishi wanavipenda, hell NO!
4. Una GENERALIZE kwamba wanaume wote tunahonga na kubembeleza michepuko simply kwasababu kuna KABILA moja ulilotaja ambalo wakivuna wanahonga. Mkuu, Tanzania tupo wanaume 30milion. Katika hao usitegemee kukosa WAJINGA WAJINGA kadhaa ambao wanashikwa masikio, that doesnt mean WOTE tuko hivyo!
5. Mwanamke yeyote MJANJA anapotoka na mume wa mtu, cha kwanza ni kuhakikisha ANALINDA ndoa ya huyo mume wa mtu. Hii itamsaidia yeye kuendelea ku enjoy benefits za kuwa mchepuko kama vile kuhudumiwa nk. Wanawake wajanja wengi hawapendi kuvunja ndoa za michepuko yao maana wao wenyewe hawataki kuolewa na hiyo michepuko! Wanajua wakishaolewa na wao watageuzwa mke na kutafutiwa michepuko ambako huduma zitahamia huko! Ukiona mwanamke anakulazimisha uachane na mkeo, au anajilinganisha na mkeo, ujue huyo ama HANA AKILI, au haelewi hii gemu inavyochezwa (labda ni katoto bado).
6. Sio kila mwanaume ameumbwa kuchepuka. Wewe ukijiona una roho ya KUPENDA PENDA, huruma, kubembeleza sana nk achana na swala la michepuko tulia na mkeo. Kuchepuka ni sayansi na sanaa ya ku balansi kati ya UPENDO na UBANDIDU yaani mguu ndani mguu nje na kuwa tayari kubwaga manyanga at anytime with no hard feelings.
Kuchepuka Ni vibaya,pia ni dhambi,Hilo nalijua mkuu,ila kwa vile binadam tumeumbwa na madhaifu ndo tunajikutaga tunafanya hivyo mkuuTheChoji,
Watu mna madini sana humu, nadhani umeeleza vizuri sana. Ila hapo namba sita mleta mada aweke mkazo zaidi.
Basi weye fanya yote yawezekane halafu ulale umevaa moccasins.Haiwezekani mkuu
Kuna zoba mmoja lazima aibiwe.Unamwibia au mnaibiana wote ?