Cucciolo mia
Member
- Nov 1, 2022
- 75
- 138
Halafu kuna atleast two types of cheating. Kuna cheating just for sex na mahusiano ya hivi hayadumu unakuta mwezi tu yameisha au ni one night stand na ni kwasababu mume hamuonyeshi upendo huyo mchepuko. Na kuna emotional cheating, mume anakuwa kweli anampenda huyo mchepuko, mahusiano yanakuwa ya muda mrefu miezi miaka, so lazima mume ataongelea ndugu zake, watoto hata mke, ndo mke wa pili anatokea hapa au official nyumba ndogo imepangishiwa au kujengewa kabisa na mtoto juu