Mchepuko akikuuliza maswali yafuatayo kuhusu mmeo au mkeo unatakiwa umjibuje?

Duh.. mkuu bado unabembeleza wanawake mpaka leo? Hujaona matokeo ya sensa??😄

Mwanamke yoyote akishaanza kukuuliza maswali ya hovyo hovyo kama hayo ujue huyo hakufai na haijui nafasi yake kama mchepuko! Huyo mwache akatafute mume we kamata mwingime mzuri zaidi yake uendeleze gegedo.
Mkuu utakulaje mbususu ya mwanamke bila kumbembeleza ?? Au kwa kuwabaka?? Hata uwe mbabe namna gan kubembeleza mwanamke kwenye ngono ni lazma mkuu!! Hata mbuz huwa anabembeleza kwanza ndo anamwingilia
 
Habarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole.

Nisiwapotezee muda niende kwenye mada:

Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi kukutana na maswali mengi Sana kutoka kwa mchepuko wako yanayohusu familia yako wakiwemo mke na watoto. Pia Kama mnavyojua kwa sis wanaume michepuko huwa tunaibembeleza Sana na huonesha Waz kuwa tunaipenda kuliko wake zetu.

Mchepuko akikuuliza maswali haya utamjibu nn?

• Namzid nini mkeo au mmeo mpaka umeamua kunipenda?
•Kati ya mimi na mmeo au mkeo Nani anakurisha Zaid kimapenz?
Kama huwezi kujibu hayo maswali ni bora ukaacha tu kujihusisha na michepuko
 
Pia Kama mnavyojua kwa sis wanaume michepuko huwa tunaibembeleza Sana na huonesha Waz kuwa tunaipenda kuliko wake zetu.
Mchepuko habembelezwi sana na hana thamani kuliko mke na hili anatakiwa kulijua.

Yeye anataka fedha, wewe unataka ngono, ukiona unapenda mchepuko kuliko mkeo na mkeo hana shida ya kukufanya upitie hali hiyo ujue ww ni ZEZETA.
 
Utambembelezaje akakuelewa ? Na mwanamke anambembelezwagwa kwa njia moja tu ya kumwambia yeye Ni mzuri kuliko wanawake wote Duniani!! Yaan lazma umwambie kuwa yeye Ni mzuri kuzd mkeo ndo atakuelewa!!!
kumpa ela kwanza
 
Mchepuko habembelezwi sana na hana thamani kuliko mke na hili anatakiwa kulijua.

Yeye anataka fedha, wewe unataka ngono, ukiona unapenda mchepuko kuliko mkeo na mkeo hana shida ya kukufanya upitie hali hiyo ujue ww ni ZEZETA.
Point yako ni sahihi kikawaida lakini mawazo yako ya moyoni lazma yawe tofaut, michepuko tunawapenda Sana kuzd hata wake zetu,maana kupenda tunaongozwa na moyo na sio reality, wew umeongelea reality ila sio kuuskiliza moyo unasema nin
 
Habarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole.

Nisiwapotezee muda niende kwenye mada:

Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi kukutana na maswali mengi Sana kutoka kwa mchepuko wako yanayohusu familia yako wakiwemo mke na watoto. Pia Kama mnavyojua kwa sis wanaume michepuko huwa tunaibembeleza Sana na huonesha Waz kuwa tunaipenda kuliko wake zetu.

Mchepuko akikuuliza maswali haya utamjibu nn?

• Namzid nini mkeo au mmeo mpaka umeamua kunipenda?
•Kati ya mimi na mmeo au mkeo Nani anakurisha Zaid kimapenz?
Atakua taahira huyo
 
Mkuu, with all due respect, mwanamke ndio anatakiwa akubembeleze wewe kuwa nae and not the other way round. Mwanamke anatakiwa ajione mwenye bahati kukupata! Kinyume na hapo ndio maana nimekuambia bado una safari ndefu..
Unachokiongea kinaexist Dunia ya ngap ?? Kweny Dunia tuliyonayo mwanamke ndo anabembelezwa mkuu
 
Habarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole.

Nisiwapotezee muda niende kwenye mada:

Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi kukutana na maswali mengi Sana kutoka kwa mchepuko wako yanayohusu familia yako wakiwemo mke na watoto. Pia Kama mnavyojua kwa sis wanaume michepuko huwa tunaibembeleza Sana na huonesha Waz kuwa tunaipenda kuliko wake zetu.

Mchepuko akikuuliza maswali haya utamjibu nn?

• Namzid nini mkeo au mmeo mpaka umeamua kunipenda?
•Kati ya mimi na mmeo au mkeo Nani anakurisha Zaid kimapenz?
Hata siku moja mchepuko hapati sifa sawa na main mamsapu, daima mamsapu huwa yupo juu.. jibu langu huwa namuambia hapa tunapumzikiana ila sina upendo wala nini, twapeana kisela..
 
Mambo ya kuuliza mimi na mkeo unampenda nani unampenda sana naona ujinga binafsi ntaplay part yangu tu mradi nnachotaka natimiziwa hayo mengine hayanihusu
Utamjibu nin Sasa mkuu ?
 
Back
Top Bottom