Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sio mwanaume nimeshaona hilo.Kumbe humpendi mkeo kutoka moyoni ila unajilazimisha kumpenda kwa sababu anakuvumiliaga kweny shida na Raha ????
Kumbe umekubaliana na mim kwamba michepuko tunaipenda kutoka moyoni ila huwa tunajizuia tu ili kulinda heshma za ndoa zetu nk! Ko msemo wako wa kusema wake tunawapenda kuliko michepuko sio sahihiTamaa za ngono za sisi wanaume tunazijua wenyewe, huwezi nielewa.
Kwa hiyo hoja inaonesha wewe ndiye unayemhitaji mchepuko kuliko yeye.Akigomea mzgo,akisema nenda kwa mkeo utasemaje mkuu??
Wengi ya wanaosema hivyo hawajui hasa maana ya mchepuko. Wanafanisha wale wa kuchukuwa kwa dhararu na mchepuko! Ukikutana na mchepuko uliokamilika utakumbuka kwenu?Sasa Kama michepuko haipendwi hao inakuwaje wanamalizia Mali zao kwa michepuko?? Mim nataka ukubaliane kuwa michepuko inapendwa Zaid ya wake!! Naomba unijibu pia acha kuzunguka zunguka
Sasa Kama michepuko haipendwi hao inakuwaje wanamalizia Mali zao kwa michepuko?? Mim nataka ukubaliane kuwa michepuko inapendwa Zaid ya wake!! Naomba unijibu pia acha kuzunguka zunguka
If u really loved themSharti la kwanza...Mchepuko anatakiwa kujua mkeo/mumeo ni thamani kuliko yeye.
Pili, mkeo/mumeo Hana madhaifu yeyote ni basi tu wewe shetani kakupitia na umekubali akupitie ndio maana upo nae.
Tatu, ya nyumbani kwako, watoto na mke/mume hayamuhusu, akipata muda wa kuwa na wewe autumie vizuri na wewe maswali apeleke mahakamani.
Nne, Atambue hataweza kukutenganisha na mke/mumeo.
Tano, asijaribu Kwa namna yeyote kufanya chokochoko Kwa mke/mumeo maana mahusiano yenu ndio yataishia hapo na utamkana mara tatu kabla jogoo hajawika.
Unalazimisha mambo na hujui tofauti ya tamaa na mapenzi.Kumbe umekubaliana na mim kwamba michepuko tunaipenda kutoka moyoni ila huwa tunajizuia tu ili kulinda heshma za ndoa zetu nk! Ko msemo wako wa kusema wake tunawapenda kuliko michepuko sio sahihi
Mkuu unaweza kumkana tu kinafikiBinafsi siwezi mkana mke wangu kuwa hafai.
Mimi nitasema nawapenda wote tu [emoji16]
Huo ni ufinyu wa akili wala usifananishe eti ni upendoMkuu inaonekana hujafanya tafit za kutosha! Nenda Shinyanga ukajionee,then unijibu kwanin wanaume wa kule wakivuna mpunga huuza na kumaliza hela zote kwa michepuko huku mke na watoto wakiachwa hawana kitu!!