[emoji1666]Sharti la kwanza...Mchepuko anatakiwa kujua mkeo/mumeo ni thamani kuliko yeye.
Pili, mkeo/mumeo Hana madhaifu yeyote ni basi tu wewe shetani kakupitia na umekubali akupitie ndio maana upo nae.
Tatu, ya nyumbani kwako, watoto na mke/mume hayamuhusu, akipata muda wa kuwa na wewe autumie vizuri na wewe maswali apeleke mahakamani.
Nne, Atambue hataweza kukutenganisha na mke/mumeo.
Tano, asijaribu Kwa namna yeyote kufanya chokochoko Kwa mke/mumeo maana mahusiano yenu ndio yataishia hapo na utamkana mara tatu kabla jogoo hajawika.
Nahis wew sio mzoefu wa michepuko,au huna michepuko kabsaSharti la kwanza...Mchepuko anatakiwa kujua mkeo/mumeo ni thamani kuliko yeye.
Pili, mkeo/mumeo Hana madhaifu yeyote ni basi tu wewe shetani kakupitia na umekubali akupitie ndio maana upo nae.
Tatu, ya nyumbani kwako, watoto na mke/mume hayamuhusu, akipata muda wa kuwa na wewe autumie vizuri na wewe maswali apeleke mahakamani.
Nne, Atambue hataweza kukutenganisha na mke/mumeo.
Tano, asijaribu Kwa namna yeyote kufanya chokochoko Kwa mke/mumeo maana mahusiano yenu ndio yataishia hapo na utamkana mara tatu kabla jogoo hajawika.
Huwa wanauliza mkuu,ikitokea mmepata muda mrefu wa kukaa nae na kupga stor nae,lazma akuulizeHiyo inwezekana vp?
Typical mwanaume akichepuka na mke wa mtu hana mda wa kuuliza hayo maswali
Typical mwanaume akiisaliti ndo yake Kwa kutembea na mchepuko hamrusuh huyo mchepuko kuizungumzia familia yake iwe Kwa mazuri au mabaya
Naenda ndio, mwanamke kuna mbinu ya kumshawishi ili asiwe na wivu.Akigomea mzgo,akisema nenda kwa mkeo utasemaje mkuu??
Utambembelezaje akakuelewa ? Na mwanamke anambembelezwagwa kwa njia moja tu ya kumwambia yeye Ni mzuri kuliko wanawake wote Duniani!! Yaan lazma umwambie kuwa yeye Ni mzuri kuzd mkeo ndo atakuelewa!!!Naenda ndio, mwanamke kuna mbinu ya kumshawishi ili asiwe na wivu.
Kama hamzid mkeo au mmeo kwake umefata nin?? Au kwanin unapeana nae mapenz Kama hamfkii mme au mkeo? Hebu fafanua hapaMjibu hakuna ulichomzidi mke/ mume wangu na ajue kabisa kwamba hawezi kuwa juu yake na mke/mume wako ni wa thamani kuliko yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utambembelezaje akakuelewa ? Na mwanamke anambembelezwagwa kwa njia moja tu ya kumwambia yeye Ni mzuri kuliko wanawake wote Duniani!! Yaan lazma umwambie kuwa yeye Ni mzuri kuzd mkeo ndo atakuelewa!!!
Habarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole.
Nisiwapotezee muda niende kwenye mada:
Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi kukutana na maswali mengi Sana kutoka kwa mchepuko wako yanayohusu familia yako wakiwemo mke na watoto. Pia Kama mnavyojua kwa sis wanaume michepuko huwa tunaibembeleza Sana na huonesha Waz kuwa tunaipenda kuliko wake zetu.
Mchepuko akikuuliza maswali haya utamjibu nn?
• Namzid nini mkeo au mmeo mpaka umeamua kunipenda?
•Kati ya mimi na mmeo au mkeo Nani anakurisha Zaid kimapenz?
Akikuuliza sifa unampa yeye ila moyoni ukijua hizo sifa ni za mkeo, na siku akianza tu kujiona keki unampiga chiniHabarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole.
Nisiwapotezee muda niende kwenye mada:
Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi kukutana na maswali mengi Sana kutoka kwa mchepuko wako yanayohusu familia yako wakiwemo mke na watoto. Pia Kama mnavyojua kwa sis wanaume michepuko huwa tunaibembeleza Sana na huonesha Waz kuwa tunaipenda kuliko wake zetu.
Mchepuko akikuuliza maswali haya utamjibu nn?
• Namzid nini mkeo au mmeo mpaka umeamua kunipenda?
•Kati ya mimi na mmeo au mkeo Nani anakurisha Zaid kimapenz?
Point!Sharti la kwanza...Mchepuko anatakiwa kujua mkeo/mumeo ni thamani kuliko yeye.