Mchepuko anachanganya mapenzi na pesa, nilichomfanyia nadhani kapata funzo

Bro kwa upendo tu nikwambie...
Anguko lako kimaendeleo laweza kuanzia kwa mama J.

How?
When?
Siwezi kusema lkn tunza hilo neno
MamaJ ananyota ya Ela Wewe,
Hizo misemo Mbona nishazoea,
Huyu hata nitumie vipi pesa, madili ya hell yanatoririka Kama kawaida.

Tena ndo nikiwa mbali nae huwa nahisi nayumba, sijaconfirm maana sio muumini sn wa Hizo imani. Ila nahs Kuna kitu flan ndani Yake akiwa na Mimi.

Napoteza Sana pesa,Ila huwa zinarudi TU
Na kila mwaka nafanya maendeleo Sana na wife kupitia mgongo wa mamaJ.

Ndani ya miaka 4,
Nna nyumba 3 zangu binafs na Moja nmekarabati kwa 85% kule ukweni kwa wife.

Hamna mwaka nmewahi kurudi nyuma kisa mamaJ, ananifrustrate Sana ila maendeleo yangu sijaacha kufanya.

Na January hii Kuna sehem nafyatulisha tofali 4500 kwa ajili ya project flan hivi inshallah nikipata pesa mbeleni nitaifanya.
 
Umekua sasa hongera
 
Mzee wa harakati, kila siku una mkasa mpya kama tamthilia.... Ila Big up sana ni story teller mzuri 👍
 
Umejibu kwa haraka na hujatafakari🤣
 
Jamaa anazijua siku za mama J kuliko mama J mwenyewe
Sio mfatiliaji hata,
Maana Kuna siku kibao tu anasahau hata aliingia lini period, siku za danger namlaghai ndo siku safe, za safe namwambia ndio za danger
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usicheke sister,
MamaJ asione nguo nzur ya msanii kaivaa lazima atataka ainunue, Hakuna harusi itampita.

Michango la laki laki anatoa Kama Hana akili nzur. Harus nyngn hata haudhurii ila unaskia kachangia laki 2 anatafta mtu wa kwenda kwny harusi.

Hapiti hata mwezi ashaichoka anawapa ndugu zake.

Zaman alikua ananipelekesha kila tukienda madukan nguo nzur anataka nitoe Ela nimnunulie. Nikampiga marufuku

Skuhz nadhan anatumia mshahara wake na marupurupu kununua.
 
Sio mfatiliaji hata,
Maana Kuna siku kibao tu anasahau hata aliingia lini period, siku za danger namlaghai ndo siku safe, za safe namwambia ndio za danger
Mkuu hapa tupo chitchat lkn katika mambo mengi kuna mafunzo ya kumsaidia mtu.

Unaweza kusema Glenn
Ananiandama au ananionea wivu.
Mimi binafsi penye ukweli huwa najikosoa mwenyewe kuwa hapa ninamkosea mtu.

Ninakwambia ukweli kuwa humfanyii vyema huyo binti.
Anataka mtoto lkn unamfanyia hila.

Niliwahi kukwambia kuwa kama Mungu yupo na anaishi na hutenda kwa haki sijui sana....naishia hapa
 
Wazee wa nyota kama nyota- umsaidie huyo kichwa maji aishi comfortable brother, just pay and buy things for her- usimpe pesa mkononi
 

Hivi kuna mwanamke haombi pesa ? Labda awe malaika
 
Zaman tunaanza Anza nilikua nampeleka shopping namnunulia, ila Nikagundua Hana shukrani na haridhiki.

Hivi inakuingia akilini t umenunua sketi ya gharama, KESHO unakuta kaikanyagia kaigeuza dekio au kampa mdg wake.

Chumban kwake ana ukuta mzima umejaa viatu, ana viatu vina Hadi miaka 3 hajavivaa Ila Lila siku anataka abadilishe viatu.

Skuhz hela za kipuuzi puuz tofauti na posho ya kula simpi, nadhan ndo anatumia mshahara wake na posho za kazin kwake kufanyia huo Ujinga.

Fikiria siku ya birthday cake nilimpa 100k akanunue nguo ya mtoko tutoke out usiku.
100k kaenda kununua hereni za elf90 TU .

Afu kwny mtoko kaja na gauni lake la zamani kavalia hizo hereni zake za elfu 90, niliumia Sana Basi TU.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wazee wa nyota kama nyota- umsaidie huyo kichwa maji aishi comfortable brother, just pay and buy things for her- usimpe pesa mkononi
Tatizo Hana Shukran,
Leo utafanya hiki, Ila mkigombana kdg atasema "wee mwanaume Ni bure kabisa, huna msaada wowote kwny maisha yangu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…