Mchepuko anachanganya mapenzi na pesa, nilichomfanyia nadhani kapata funzo


Sasa halaf unataka umlaumu Dp jamani anafanya sehemu yake mbona ,kwa wanaume wa kibongo DP anajitahidi mno kuna watu hawajali kabisa hawahudumii
 
Ashasema anawaza bata tu yeye
Kwanza ajue mama J akiamua kumharibia ndoa anaweza sababu hana cha kupoteza.
Ninaogopa sana mwanamke mpenda bata tuu kila siku na haoni mbele.
Napenda mtu anayeona mbele ili ifike siiu akushukuru kwa kidogo ulichompa tafu.
Kwa huyu mama J wote DeepPond na mama J wanapoteza na kibaya zaidi wataachana vibaya
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ana mdomo jamani
 
WOSIA KWA WANAWAKE

Ukitaka uishi vizuri na mwanaume basi uwe mwepesi wa kushukuru pale mwanaume anapotoa kukupa wewe japo kile anachokitoa utakiona ni kidogo mbele ya macho yako ila jua kina thamani kubwa kwa yule aliyekitoa kukupa wewe. Mwanaume anapokupa muombee abarikiwe zaidi ya kile alichokitoa.


Usiwe na mdomo mchafu kwa mwenza wako. Usipende kujibizana au kutukanana nae pale unapomuona ameghadhabika, Usimpandishie sauti mwanaume hasa unapokuwa mbele za watu. Pendelea sana kuwa chini yake katika kauli.

Hakuna mwanaume bahili, nature yetu wanaume ni kutoa
 
Hamna anayepoteza zaidi ya mama J sababu Pond ana control na maisha yake. Ameoa na ana familia na anafanya mambo amabayo anapaswa kuyafanya kama baba kikamilifu.

Huyo mama J ndio yeye hajielewi hajui anapaswa afanye nini kwenye maisha yake. Hana akili wala uwezo wa kujitegemea thus why anakuwa kama Prey kwa Pond.
 

Wanavyokosana ndio wanavyopendana hivi hujawah kuona watu wa hivyo hawaachanagi mapema [emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Huyo ni haramia kwa kauli kama hizo hafai. Tuendelee kusaga valve tu hadi Yesu ataporejea.
Zaman nilikua nateseka Sana akisema vile,
Ila nowdays nishazoea, alisema tuachane nasema POA. Atajichetua uko njaa ikimuuma anajirudisha.

Kuna siku aliwahi kusema tuachane anarud kwa ex mwake Ni mwalimu wa sekondari wanapendena sana,jamaa anaonyesha kumjali sio Kama mimi. Nikamruhusu nenda.

Alivoona maisha ya kule alikoenda hayako Kama alivozoea kwangu,kila siku jamaa hamtimizij mahitaji yake, wakagombana na akajirudisha kwangu na nikampokea.
 
Hilo wanawake wanaoliweza ndio unaona kila siku wanapelekwa vacation za Dubai, Ibiza, Serengeti kulisha twiga. Ila visebengo wanaishia buza kwenye bar za wauza nguruwe jeshini 🀣🀣🀣
 
Ndio maana nasema huyo kwako kujiondoa hawezi. Hana independent thinking. Ni kiazi kwa asili πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na kwakuwa hana adabu hawezi fika mbali na mahusiano. Atakuwa anaachika mapema sana sababu ya mdomo mchafu.
 
Aiseeee!!! Hawa ndio dizaini ya wanawake unaowapa elfu 20000 halafu anakutupia na kukuambia kuwa hela gani hii unanipa.!!

Imagine umeacha kumnunulia mkeo ukaona umnunulie yeye halafu unafika anakujibu majibu ya kukata maini hivyo. Nakupongeza mkuu kwa kudumu nae...kwani unevumilia mengi na probably atakusababisha kichwa chako kijae mvi kabla ya wakati wake.
 
Eeh ndio mule mule, anaweza kukujibu upuuzi hadi ukaishiwa pozi.
 
DeepPond amhurumie tu aachane naye for good
 
Niko nae mwaka wa 4 Sasa,
Ni nilichoamua Ni kwamba Kama asipojitambua na kujirekebisha Basi ataendelea kutumika mpk anazeeka na maendeleo nafanya na wife TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…