Sasa mpendwa kwa scenario kama hii utamfananisha mama J na mama G?? Hata wote wakiwa wanaachiwa 5000 mama J hana chake kwa DP hata miradi yake hamshirikishi na hajui chochote zaidi ya starehe na bata.Hata huko waloolewa wengine wanaachiwa 5000 tu nao ni sex slave?au uchumi wa mme mbovu trudie
Kwa komenti hii na anachofanya Dp na yanayoendelea nchi hii sisi kwenye eneo la ubinadamu na utu bado sana.Haezi muacha as long as anafaidika na huduma yake ya sex. Anampa satisfaction na hio ndio main purpose ya kuendelea kuwa nae.
Yeah CCM ndo imetufundisha hivyo hakuna aliyezaliwa na akili hio.Kwa komenti hii na anachofanya Dp na yanayoendelea nchi hii sisi kwenye eneo la ubinadamu na utu bado sana.
Tukubali tukatae tumejaa ubinafsi mkubwa.
Unajinufaisha kwa mtu kwa ajili ya furaha yako kwa kutumia ujinga na umaskini wa mtu.
NO no
Wanawake hawapo kama mvinyo!! Umri unavyokatika na ndivyo ladha yao inavyopungua. So itafikia muda atakuwa hana tena kitu kingine cha kuoffer kwa DeepPond zaidi ya mdomo na kauli zake chafu and it will be the end of that chaotic love story.Haezi muacha as long as anafaidika na huduma yake ya sex. Anampa satisfaction na hio ndio main purpose ya kuendelea kuwa nae.
Ninashukuru kwa kulikiri hili kamanda🤣🤣🤣Yeah CCM ndo imetufundisha hivyo hakuna aliyezaliwa na akili hio.
Kwahio we huna nyumba utakua unafanyaje ufuska na mawazo. Wanaume wote wenye michepuko ni wale wenye disposable income.Sio wote walooana wana nyumba Ex
Mkuu,DeepPond amhurumie tu aachane naye for good
Hahahahah lets give it time ipo siku mnato utaisha na DP atasepa zake kwa Amani. 🤣🤣🤣Wanawake hawapo kama mvinyo!! Umri unavyokatika na ndivyo ladha yao inavyopungua. So itafikia muda atakuwa hana tena kitu kingine cha kuoffer kwa DeepPond zaidi ya mdomo na kauli zake chafu and it will be the end of that chaotic love story.
Uzuri huisha ila tabia njema hubaki.
Hahahaa nyau weweLimefanana na ma J 🤣
DAah huo msalaba wako lazima uufikishe golgotha😅😅😅Mkuu,
kwa akili hii nikimuacha sahv ndo atapotea kabisa,maana hajui aanzie wali aende wapi.
Afu kingine mi hata skuhz simzingatii Sana,mara kibao TU yeye ndo husema
"Kama vipi tuachane" najibu "POA"
Nakata huduma na mguu kwake,
Akikaa TU hata mwezi hatoboi lazima anitafute kusema chochote Cha kupika nyumbani.
Nikimtumia na nikaenda,
Penzi ananipa Kama kawaida na tunarudiana.
Mkuu,Yeah CCM ndo imetufundisha hivyo hakuna aliyezaliwa na akili hio.
utakua umeshaisha ila kabaki kumwonea huruma tu,yupo nae kimazoea lakini si kwamba akikosa kipochi manyoya anasumbukaHahahahah lets give it time ipo siku mnato utaisha na DP atasepa zake kwa Amani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu,
kwa akili hii nikimuacha sahv ndo atapotea kabisa,maana hajui aanzie wali aende wapi.
Afu kingine mi hata skuhz simzingatii Sana,mara kibao TU yeye ndo husema
"Kama vipi tuachane" najibu "POA"
Nakata huduma na mguu kwake,
Akikaa TU hata mwezi hatoboi lazima anitafute kusema chochote Cha kupika nyumbani.
Nikimtumia na nikaenda,
Penzi ananipa Kama kawaida na tunarudiana.