THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,462
- 7,157
Chai chai Chai chai chai chaijaba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niaje? Ni vipi?Mbona zipo nyingi tu na mnaziita "mashangingi", zimejaa kibao road
A🙏🙏Kama ni ya kweli..
Love yourself than anything else na usiwekeze nguvu na furaha yako kwa mtu......
jipe furaha mwenyewe jipende wewe kuliko yeyote kuhusu MWANAMKE huyo assume hukumpa chochote piga Chini kuanza upya sio ujinga sawa... Mimi nikimpaga MTU kitu huwa nakifuta akilini sito kiwaza Wala hata ukini kosea usitegemee ntaki mention Wala kukunyang'anya
Kwa Sasa Ni hayo TU
Na mimi naomba ninunulie kitimoto LeoBora ningemuongezea mama yangu ghorofa nyingine masaki kuliko huyu
Mwanamke asie na utu na shukrani
Ni fresh. Niko poaNiaje? Ni vipi?
Nakusalimia bro 😊
Hongera mkuuMi sio tajiri ila Nina hela za kuhonga
Ukisikia chai ndio hizi sasa 😂😂VX8 ndio gari gani?
Aisee we jamaa ni tajiri, yaani VX V8 unahonga mchepuko, sasa mke si ana Rolls Royce.Bora ningemuongezea mama yangu ghorofa nyingine masaki kuliko huyu
Mwanamke asie na utu na shukrani
Watu mnakumbukumbu Leo kazi ninayo vx8 imeniponzaNina kipaji cha utapeli
Hiki kipaji nilianza kukigundua baada ya kuenda bank moja hivi na kupiga sound mhudumu mmoja wa pale na kumfanya kumtoa kiasi cha m20. Pasipoti dhamana ya kitu ila nilimrudishia lengo kupima uwezo wa akili yangu Tukio la pili nilipofanikiwa kuingia nchi moja hivi na kukuta askari wakilinda...www.jamiiforums.com
Umeona uje field jf sio 🤣🤣🤣
Nilishajiapisha sitokuja tena kutumia nguvu nyingi kumfurahisha mwanamke.Mtoe kwenye toyota
Mpe tena hata li Audi Q7 huko. Hakika atakurudia na shukurani.