Mchepuko Nimeunulia gari aina ya VX8 baada ya kulichoka kasema hakuna nilichomfanyia

Mchepuko Nimeunulia gari aina ya VX8 baada ya kulichoka kasema hakuna nilichomfanyia

daaaaah wewe Mzee migabo hua na kuheshimu kumbe upo na akili mbovu namna hii
 
HII CHAI IMETIWA NDIMU KAMA ZILE ZA KIPINDI CHA KORONA. 😂😂
 
Vijana wakishashiba ugali&maharage mabovu wanaingia online kupamba majukwaa kwa ndoto zisizo zao[emoji28].

Unaweza kukuta hii topic kapost kijana mdogo wa dada akiwa kakalia sofa la shemeji yake bila hofu, na anaconfidence kubwa mpaka kuandika magari ambayo hata shemeji yake hana[emoji28] (joke).
 
Back
Top Bottom