Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Mama la Mama nini tenaaaWatu mnakumbukumbu Leo kazi ninayo vx8 imeniponza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama la Mama nini tenaaaWatu mnakumbukumbu Leo kazi ninayo vx8 imeniponza
Nimejifunza kitu kikubwa sana kupitia comment yakoNilishajiapisha sitokuja tena kutumia nguvu nyingi kumfurahisha mwanamke.
Kumbe unavyozidi kujitutumua ndivyo hadhi yako inashuka kwake na kukuona siyo kitu.
Wanawake hawapendi hukurumiwa.
Hata kwenye mgegedo wanawake wanataka mwanaume ufanye rafu rafu tu.
Ngachoka!
🤣🤣🤣🤣VX8 ndio gari gani?
VX8 mwendokasiwewe unatumia gari gani?
🤣🤣🤣🤣🤣 Vx imeleta shidaWatu mnakumbukumbu Leo kazi ninayo vx8 imeniponza
ahahaha huwa unakaaga au unasimama pale kwenye cona likipinda nawe unapinda.VX8 mwendokasi
Ulikuwa ukihonga au?Bora ningemuongezea mama yangu ghorofa nyingine masaki kuliko huyu
Mwanamke asie na utu na shukrani
Je wewe ungeleta ubishoo huo?🤣🤣🤣🤣🤣 Vx imeleta shida
Umeona wapi tumejinasibu tu matajiri woteyani wanaume wa humu jf wote matajiri.
V8 nzima Kwa tobo la mwanamke huyuhuyu naemjua au kuna tobo la aina nyingine?Bora ningemuongezea mama yangu ghorofa nyingine masaki kuliko huyu
Mwanamke asie na utu na shukrani
saiv hauuzi odds za bettingIst wazalendp
pole bwana ,we kama hauhusiki ungekaa kimya ila kwa povu ili😆😆🙌🏾🙌🏾Umeona wapi tumejinasibu tu matajiri wote
Acha kufikirika
Si ndiyo nyie mnasema wanaume tumezidi kuwa bahiri maana nyuzi za kuwakandia kuwa omba omba ni nyingi.
Uliwahi wapi kumuona tajiri anakandia kuombwa fedha na mwanamke
Aaaah povu gani uloliona ila wanawake mnapenda kujitoa kufahamupole bwana ,we kama hauhusiki ungekaa kimya ila kwa povu ili😆😆🙌🏾🙌🏾
pole sirudii tena 😆🙌🏾Aaaah povu gani uloliona ila wanawake mnapenda kujitoa kufahamu
😆
Mie sijaumia popote nilikuwa nakueleza ukweli uliopo maana unapogeneralize wakati hicho kitu hakipo unatupa mashaka mie Niko mormal kabisa 🤣🤣🤣pole sirudii tena 😆🙌🏾
Haha ugomvi wa nyuklia huoUlikuwa ukihonga au?
Nadhani umefundishwa kuwa bad boy siyo mchezo mchezo mwanamke anatamani mashindano daile, akitoa hiki we toa kile , ungemwambia tu nilidhani inafeni ndiyo maana nilikuhonga hivyo kumbe uko hovyo hivyo nilijitahidi mno walau tu usijisikie vibaya ila kibuyu chako Huwa kinanuka uvundo