Mchepuko Nimeunulia gari aina ya VX8 baada ya kulichoka kasema hakuna nilichomfanyia

Nimejifunza kitu kikubwa sana kupitia comment yako
 
Bora ningemuongezea mama yangu ghorofa nyingine masaki kuliko huyu

Mwanamke asie na utu na shukrani
Ulikuwa ukihonga au?

Nadhani umefundishwa kuwa bad boy siyo mchezo mchezo mwanamke anatamani mashindano daile, akitoa hiki we toa kile , ungemwambia tu nilidhani inafeni ndiyo maana nilikuhonga hivyo kumbe uko hovyo hivyo nilijitahidi mno walau tu usijisikie vibaya ila kibuyu chako Huwa kinanuka uvundo
 
yani wanaume wa humu jf wote matajiri.
Umeona wapi tumejinasibu tu matajiri wote

Acha kufikirika

Si ndiyo nyie mnasema wanaume tumezidi kuwa bahiri maana nyuzi za kuwakandia kuwa omba omba ni nyingi.

Uliwahi wapi kumuona tajiri anakandia kuombwa fedha na mwanamke
 
Umeona wapi tumejinasibu tu matajiri wote

Acha kufikirika

Si ndiyo nyie mnasema wanaume tumezidi kuwa bahiri maana nyuzi za kuwakandia kuwa omba omba ni nyingi.

Uliwahi wapi kumuona tajiri anakandia kuombwa fedha na mwanamke
pole bwana ,we kama hauhusiki ungekaa kimya ila kwa povu iliπŸ˜†πŸ˜†πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
 
pole sirudii tena πŸ˜†πŸ™ŒπŸΎ
Mie sijaumia popote nilikuwa nakueleza ukweli uliopo maana unapogeneralize wakati hicho kitu hakipo unatupa mashaka mie Niko mormal kabisa 🀣🀣🀣
 
Haha ugomvi wa nyuklia huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…