Majukumu mkuu nilizama chaka sio pw c unajua mavunoMzee imekua adimu
Vizur Sanaa mkuu mapambano lazima yaendeleeMajukumu mkuu nilizama chaka sio pw c unajua mavuno
Ila mwanamke mwanamke tu 🤣🤣🤣🤣 we unapaswa kupigwa busu matatasasa mbona unajitetea kwa nguvu ivo🤣🙌🏾
😂😂 KwaninIla mwanamke mwanamke tu 🤣🤣🤣🤣 we unapaswa kupigwa busu matata
Ndicho kinachokufaaaa Kwa Sasa maana ....😂😂 Kwanin
aya fanya ivoNdicho kinachokufaaaa Kwa Sasa maana ....
KUmbe kuna watu wanahonga hivi😟Bora ningemuongezea mama yangu ghorofa nyingine masaki kuliko huyu
Mwanamke asie na utu na shukrani
Yeye hajasema ni gariVX8 ndio gari gani?
UthibitishoNinapesa mingi hata kunguru haziruki
😄Aina ya nyuzi mtu anaandika pindi anapopigwa na jua masaa manne mfululizo bila kunywa maji...
Baba yako hawezi kukushukuru?Michepuko hainaga shukurani mkuu mtu pekee atakayekushukuru kwa dhati ni mama yako mzazi
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app