Hao boda boda wakiwazalisha wanawaachia mali zipi??Dada yupo sahihi. Huyo jamaa wakati anachepuka uwezo wa kufikiri kabla ya kutenda ulikuwa wapi?
Ukichepuka ukazaa na mtoto hakikisha umemwachia mali huyo mtoto wako haram.
Mnapenda kula kula sana hadi mnafanya wajane walie mara 2
Mtafika mbinguni mmechokaWatibeli tunakula minofu iliyonona. Kama NI dhambi tunakula dhambi takatifu.
Mtafika mbinguni mmechoka
Kama mali ipo lazima udaiwe.Hao boda boda wakiwazalisha wanawaachia mali zipi??
Shida inaanzia hapo! Kwa wanaume wengi akili sio kigezo🙄Kuna michepuko haina Akili
😅😅😅😅Shida inaanzia hapo! Kwa wanaume wengi akili sio kigezo🙄
Kimeo hichoHilo ulichukua jumba bovu kabisa.
Kuna mmoja nilikutana nae barabarani nikasema demu si ndio huyu.
Tulichat siku mbili tatu ikafika kwenda kufahamiana zaidi. Kufika lodge mhudumu aliposema bei ya chumba elfu 50, demu aling'aka kama analipa yeye. Akaanza kusema si bora tungeenda lodge za elfu 10 halafu hiyo 40 unipe mimi.
Yani pale pale nilimshusha thamani. Sio sababu ya kutaka kuwa mchumi bali jinsi alivyopayuka mpaka wote kuoneka kituko.
Mungu hakunyimi vyoteBora angechepuka kwa pisi Kali basi.. ni nini sasa hicho
Na hapo mlihonga sana😀Hakuna cha kupotezea alikomaa kesi ilikaa miaka 5 na miezi ila watoto wa ndani ya ndoa tukashinda.
Hata wewe☺️Makalio yako mxiuuu 😂 😂 😂
Aisee. Basi na wewe huwa unachepuka. Kuna couple naijua, kila mmoja anakula maisha anavyopenda. Miezi miwili wako pamoja, miezi miwili wameachana kwa ugomvi mkubwa, ikipita mwezi mmoja wako tena pamoja. Na kila mmoja anatembea na mwanaume/mwanamke anayetaka. Wameshazaa watoto watatu kwa style hii hii ya maisha. Nachomsifi huyo bibi ni kuwa anazaa na huyo mumewe tu na watoto wamefanana na baba yao kama mapacha.ungojevu ni muhimu,,ishu sio kufanya siri,angewafata ndugu baadae na huo utambulisho,,afu kwa mwanaume kuzaa nje ni kawaida sana saivi,hata mimi mwanaume wangu sitamzuia,,ila bi mdashi asiwe na papara.
Ukimwi utawatenganisha soonAisee. Basi na wewe huwa unachepuka. Kuna couple naijua, kila mmoja anakula maisha anavyopenda. Miezi miwili wako pamoja, miezi miwili wameachana kwa ugomvi mkubwa, ikipita mwezi mmoja wako tena pamoja. Na kila mmoja anatembea na mwanaume/mwanamke anayetaka. Wameshazaa watoto watatu kwa style hii hii ya maisha. Nachomsifi huyo bibi ni kuwa anazaa na huyo mumewe tu na watoto wamefanana na baba yao kama mapacha.
Sijui huwa wanakwepaje ukimwi kwa sababu ni watembezi waliokubuhu.Ukimwi utawatenganisha soon
sichepuki ila najua kwa karne hii kuzuia ni ngumu,, ingawa siwezi onesha wazi kua nmemruhusu,anaweza nidharau mnoAisee. Basi na wewe huwa unachepuka. Kuna couple naijua, kila mmoja anakula maisha anavyopenda. Miezi miwili wako pamoja, miezi miwili wameachana kwa ugomvi mkubwa, ikipita mwezi mmoja wako tena pamoja. Na kila mmoja anatembea na mwanaume/mwanamke anayetaka. Wameshazaa watoto watatu kwa style hii hii ya maisha. Nachomsifi huyo bibi ni kuwa anazaa na huyo mumewe tu na watoto wamefanana na baba yao kama mapacha.
Kawaida mheshimiwa 😊Hata wewe☺️
Kesi ya mirathi ina kuhonga si utamaliza pesa 😁😁Na hapo mlihonga sana😀
MmmhKawaida mheshimiwa 😊