''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

Mchepuko yuko sahihi 100%. Chakula lazima kiliwe kikiwa cha moto. Wakati bado watu wanamwongelea marehemu ndo muda sahihi wa kuleta mada mezani. Akicheka na kima atapata tabu sana kumlea huyo mtoto. Nina uhakika katika hao ndugu na marafiki wapo wanaomjua mchepuko tangu jamaa akiwa hai. Haki itendeke kwa mchepuko. Iwe fundisho kwa wasabato wengine.
 
mtoto wako haram.
Hakuna mtoto haram.

Wanaharam ni wazazi waliomleta duniani kiumbe asiekuwa na hatia kwa tamaa za miili yao na kuruhusu malaika huyo ahukumiwe na standard za kinafiki za walimwengu.
 
Dada yupo sahihi. Huyo jamaa wakati anachepuka uwezo wa kufikiri kabla ya kutenda ulikuwa wapi?

Ukichepuka ukazaa na mtoto hakikisha umemwachia mali huyo mtoto wako haram.
Hayupo sahihi ndugu yangu, kulikuwa na njia nyingi nzuri za kufikisha ujumbe wake tofauti na hio aliyofanya.
Amemuibisha baba wa mtoto wake na moja kwa moja amemuibisha mtoto wàke maana kumbukumbu zinadumu haswa kipindi hiki cha ukuwaji wa teknolojia ya habari.

Swala la mwanaume kufanya hio mnayoita kuchepuka hamna namna mnaweza kuelezwa mkaekewa kama sio nwanaume, wanaume kuna aina fulani ya mapito tunayopita baada ya kuoa hayaelezeki kwa lugha inayoeleweka kwa asiye mwanaume.

Ingekuwa inawezekana mwanaume asijihusishe na kitu kinachoitwa ndoa maisha ya mwanaume yengekuwa bora sana, lakini kwajili ya uzazi na kuendeleza uzao na malezi bora kwa watoto kwa mustakbali wa maisha ya kizazi kijacho mwanaume anatoa sadaka maisha yake.
 
Back
Top Bottom