Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Naolewa braza sioiNinyi ndio mnaooa kwa kuangalia sura na tako.
Kuna mademu wabayabbaya usoni lakini mziki wake mkizima taa sio wa kawaida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naolewa braza sioiNinyi ndio mnaooa kwa kuangalia sura na tako.
Kuna mademu wabayabbaya usoni lakini mziki wake mkizima taa sio wa kawaida.
Mtasema mengi ila mnatia aibuuKazi anaijua labda.
We omba tu asije msibani au tusipate watoto ila suala la kugegeda nje halikwepekiMmezidi mjishikilie jamani wake zenu tunawapenda ila nyie boxer mkononi km asha ngedere 🙌🙌
Sio wote MkuuNawajua sana nimefunika tu ila wanaume ni wauaji nyie
Wewe haumo kabisa kwenye hao ondoa shakaSio wote Mkuu
Shindikanaaa hamuwezi shindana na mlipotokeaWe omba tu asije msibani au tusipate watoto ila suala la kugegeda nje halikwepeki
Hakuna mtoto haram.mtoto wako haram.
Hayupo sahihi ndugu yangu, kulikuwa na njia nyingi nzuri za kufikisha ujumbe wake tofauti na hio aliyofanya.Dada yupo sahihi. Huyo jamaa wakati anachepuka uwezo wa kufikiri kabla ya kutenda ulikuwa wapi?
Ukichepuka ukazaa na mtoto hakikisha umemwachia mali huyo mtoto wako haram.
unanogewa na mato kuuacha huweziUnakuta kitu mnato ndio shida ipo hapo
Kwenye moja na mbili 😄😄😄Msabato aliteleza😄😄
Hahaha aloooNdio wanakuwaga na mnato hao!
Wasabato kwenye moja na mbili 😏😃😏😃😃😃Ila wasabato na hako kaugonjwa ka chini...wako vizuri!
Mwandishi: Unafanya kazi gani?Uwezo wa muandishi kielimu na kuhoji ni changamoto nyingine ukiondoa huo mchepuko
I like the ending...Nimelia sana maana hata mi nikifa leo naweza kupata aibu kama hiyo na ninavyo heshimika kanisani.
Tumalizane kwanza na zile pisi za KinyarwandaNaacha kwa kweli
Umemaliza mkuu...Kosea yote maishani ila usije kosea kutembea na mwanamke wa ovyo.
Na kuchepuka kupo ila ikishakuwa umeoa inabidi u control kusikilizia utamu kupitiliza.
Huyu demu amekaa kimaslahi zaidi. Hakuna chembe ya uchungu kwenye sura yake.
alipojaribu ilifinyiwa kwa ndani, na ikawekwa kwenye kitobo cha mkojo, huchomoki hata kama demu ana sura kama jabaliBora angechepuka kwa pisi Kali basi.. ni nini sasa hicho
Kivipi njombaa?Mtasema mengi ila mnatia aibuu