Mkuu usawa huu inahtaji moyo sana, huo mchepuko naishi naye kimtego mtego sanaWe wwee! Penzi kikohozi... Either amweleze ukweli huyo mchepuko na aingie gharama za kumuhamisha hapo au amuache kabisa. Hiyo ishu itabumbuluka siku sio nyingi trust me.
Au kama 'dini yake inaruhusu' basi aongeze mke wa pili ijulikane moja.
Kweli mkuu,mchepuko huwezi uelekeza unapoishi na familia yako...ukiwazingua wanaweza fikaga kwa mkeoAaah, kwa wanaume Ni possible kabisa, yaani nimeoa halafu nikwambie ukweli kua eti naishi sehemu flani? Ni lazima uwe mchepuko mstaarabu Sana na WA muda mrefu ndo nitakwambia napo naweza Tu kukutajia eneo, yaani nikakwambia Tu naishi Tabata.
Fact mkuu, watu wengi wanadhani ukiwa na mchepuko au wanawake wengi huwezi Fanya mambo ya msingi sio kweli kabisa, maendeleo ni mipango tu ya mtuMkuu kuna ambao hawana michepuko na bado wanaishi nyumba za kupanga.Na kuna ambao wana mpaka wanne na wanaendelea kujenga.Kujenga ni mipango mkuu.Mpe ushauri nduguyo.
Asante mkuu, ngoja nichanganye na zangu kwanzaKama Ni kweli hii Ni issue rahisi Sana.
Fanya hivi, muite mchepuko stand/airport, nenda Naye hotelini, mgegede vizuri, halafu mwambie ukweli kua pale Ni kwani na ndiyo familia yenyewe! Yaani mwambie kwa sasa wewe unaishi kwa maslahi mapana ya familia yako, so yeye awe mpole mtaendelea kulana kihotel hotel,.
I hope ataelewa na atawahurumia wanao so hatoleta varangati, na ukiweza mtoe, kampangie sehemu nyingine.