Mchepuko umekuja kupanga nyumba ninayoishi na familia yangu

Mmh! Mbona kama ni vigumu kutokea kwa sababu sidhani kama hujawahi kumwambia unaishi wapi hiyo ni ngumu aisee.
Kama hii ni kweli,basi maombi ya mchepuko wako kuomba kuwa sehemu ya familia yako yamejibiwa!au ulikua unategemea nini labda!
 
Duh.! Huo ushauri ni mubashara kabisa.[emoji12]
Kwamba "umeoteshwa"
Au umeshushiwa "maono"
 
unapochepuka hamna uzi leo kwa ujasiri kabisa unaandika uzi kisa mnapanga naye nyumba hebu jipange upya
 
Mkuu tayari Nina nyumba yangu, ila huku nimehamishiwa kikazi na ndio maana nimepanga...au ulitaka nihame na nyumba yangu?
Kama umeshajenga ni sawa hata hivyo hupaswi kuwaangaisha family wakati mji upo.
 
kuna watu wana balaa hii nchi haijawahi kutokea
 
Hahahaaa,usirudi home tena mkuu,baki uko uko
 
Kama ulikuwa hujamwambia kuwa una familia, mwambie. Mweleze ukweli wote , halafu muachane. Ukweli ndo silaha pekee uliyonayo.
 
Amekukomoa, kuna uwezekano mkubwa anajua unapoishi ma amekufata muwe karibu eeeeh au!?
 

Ha ha haaaa

Labda alimwambia mengi ya uongo eeeeh... hata eneo lingine na sio huko anapoishi..huyu kama aliingia kwa mchepuko kwa kudanganya kapatikana na heshima yake inashuka asilimia mia mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…