Kaka,mpigie simu huyo mchepuko, kama mlivopanga mkutane stand. Kisha mwambie alipohamia ndipo unapoishi na umwambie una make wako. Kama anapenda kuchepuka nawe, basi ahame ndani ya wiki mbili.kisha kila mmoja aende nyumbani kivyake. Kisha ukifika nyumbani salimiana Naye kama mpangaji na usijihusushe naye kabisa,(mtoe moyoni mwako). Asipohama, hama wewe. Angalizo:- hiyo mchepuko, ana taarifa zako zote. Yeye kahamia ulipo ili uchague kati yake na mkeo. Kaka, kama umechepuka naye zaidi ya Mara tatu, ujue huyo ana taarifa zako zote. Chagua kusuka UA kunyoa.