Pamoja na umri na watoto wakubwa hajiheshimu kutafta kiki zisizo na kichwa wala miguu atajaza fuso sasa
Ila zari mzuri jamaniii
Ila ndomo kampa airtime zari, maana wengi walikuwa hawamfahamu zari
Siku hizi anachuna na yeye manake Mali ni za ivan hata ile lambogin (mtanisaidia spelling) aliazima kwa Ivan (mwanae aliposti akaweka caption kwamba mtalaka alimuazima mama yao). Na umalaya huo ndio Ivan amebana Mali zake.
Kuna bwana mwingine mwaka huu huu alimuacha kisa no dolare
Ila ndomo kampa airtime zari, maana wengi walikuwa hawamfahamu zari
Mimi nilipoona tu style ya mkubwa na mwanae nikaona basi huyu mtoto Domo tutampoteza.
Katika hali ya kawaida kabisa huyu Malaya Zari kwa gape yao ya umri ana uwezo wa kumzaa kabisa, na wale mashabiki maandazi acheni kumpotosha huyu mtoto kwanza kama pesa Domo ana pesa zake anastahili kudate na msichana wa umri wake na siyo huyu kikongwe kinachoonekana bado wamo kwa msaada wa pesa na makeups.
Nasikia Toka mwaka uanze ametambulisha wanae Dogo dogo Kama 4 hivi. Haha huyu baba yenu
Mwenyewe kanichosha sio kwamba alimpenda domo basi kutafta kiki za ki Kim kardashian hajui kuwa huku ni Africa akiwa 20s ndo alitakiwa hafanye hivi vtu
Kwa hiyo hivi karibuni na Diamond atakwenda Uganda kutambulishwa? Duuu ana hatari dogo
Wengine atawaambia awaite "mjomba:
Kuna uwezekano alikuwa ana tafuta kick kabisa! Na kesho Diamond anatoa wimbo
Hawaendan kivipi??
Hawaendani kwa kila kitu moja tuu ni Zari ana watoto wakubwa umri watakuwa wanapisha labda 5yrs na dai, inabidi ajiheshimu
Inaitwa mwaga mboga nimwage ugali
Haijalishii mama ndo akose faraja eeee kisa watoto wakubwa khaaa
Sema ilitakiwa iwe siri ili watoti wasijuee
"Ukimwaga mboga, simwagi tu ugali bali natoboa sufuria nazima na moto usipike tena" lol....
Haijalishii mama ndo akose faraja eeee kisa watoto wakubwa khaaa
Sema ilitakiwa iwe siri ili watoti wasijuee
Hawaendani kwa kila kitu moja tuu ni Zari ana watoto wakubwa umri watakuwa wanapisha labda 5yrs na dai, inabidi ajiheshimu
Ila ndomo kampa airtime zari, maana wengi walikuwa hawamfahamu zari
Hahaha kwenye zari all white party ndo muda wa utambulisho