Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Itabidi sahv wakirudiana wafunge hata ya mkeka tu mweh make naona ile ya uwanja wa taifa ni ndoto ha ha haHahahaha Mwl una vituko sana hii ya kutoboa sufuria na kuzima moto umenicha hoi sana uknw.....kijana amevuta hisia za watu sana Mimi kila siku huwa namuombea acheze salama! Kesho anatoa wimbo halafu baada ya wiki wanarudiana na wema anaanza tour za show na kumtambulisha upya
mweeeee any time babes....... nimeblokiwa ni shiderrrrrr
Itabidi sahv wakirudiana wafunge hata ya mkeka tu mweh make naona ile ya uwanja wa taifa ni ndoto ha ha ha
Kwakweli hili la Mkubwa na mwanae kwa upande mwingine si zuri maana huyu Mkubwazari anaonekana anapenda dogo dogo Mimi naomba awe ana kumbuka salama.
Hawaendani kwa kila kitu moja tuu ni Zari ana watoto wakubwa umri watakuwa wanapisha labda 5yrs na dai, inabidi ajiheshimu
Itabidi sahv wakirudiana wafunge hata ya mkeka tu mweh make naona ile ya uwanja wa taifa ni ndoto ha ha ha
Yaani mimi nashindwa kuwaelewa mnashabikia uzinifu badala ya kumpa ushauri mwenyewe anaona sifa anatafuta kiki za kutoa wimbo mpya na jf mnavyompaa kiki du
Kwani tumeshabikia basi ndugu tunamjulisha kijana akumbuke ndom maana ile mashine kubwa
Kama anasahau kula pipi na ganda soon tutaweka turubai tandale ohooo nyenyere wako kila mahali
Wamama wa siku hizi kwani wana adabu basi? Basi tu bora waitwe mama hawajui kuitwa mama kuna mengi ya kufanya na kujinyima kulinda heshima ya wanao. Age pia wameachana mbali. Birthday ya mwaka Jana mkubwa alikuwa 34 na kumbuka mademu mastaa wanadanganya miaka so hapa kitu hakikosi 39 hivi. Watu wameshabikia hii ishu na kuona ni sawa kwa vile imemhusisha Wema
yan kwake mapenzi sio tu upofu ila ni macho ya bandia, watarudiana tu ngoja hiyo project ya diamond iishe utamu ha ha haKwakweli Wema ana nyanyaswa sana na Diamond! Yani ningekuwa ni ndugu yake nilishamteguwa miguu! Ameshakuwa kama ndondocha wa Diamond! Utashangazwa wakirudiana!
Wema natamani nimpige nyundo kichwani sipendi hii mihusiano na diamond. Diamond anamdhalilisha tu. This time naomba asirudi
Kwa anavopenda kupaishwa haoni shida kurudiana nae aendelee tu kudhalilishwa
Project ikiisha watarudiana tuMie naona kama hawa watu watarudiana maana ndo zao
Hivi na Viktoria kimani aliliwa na Daj eti au ilipita salama eeeee
Kwa anavopenda kupaishwa haoni shida kurudiana nae aendelee tu kudhalilishwa
sahv ndo kashtukia mapedeshee dili ha ha ha wakati alishindwa kutulia kwa papaa clemee kisa dangote hivi hivi akaacha ofa ya m400 mweh atajutraaaHahaha ndo maana domo hakuamini kama ameachwa kweli alijua ni utani hadi alijikoki murrano hehehehe maumivu tele umepeleka murrano mwenzako benzino ahahahah utajionaje vima?
sahv ndo kashtukia mapedeshee dili ha ha ha wakati alishindwa kutulia kwa papaa clemee kisa dangote hivi hivi akaacha ofa ya m400 mweh atajutraaa