Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mapedeshee ndo habare ya mjini vijana waganga njaa waachie akina zari wenye genye mshindo hahah nahisi clemee ndo amemrudia wema wake maana alishasema kwa kajala alienda kukomoa so yameisha
Mapedeshee ndo habare ya mjini vijana waganga njaa waachie akina zari wenye genye mshindo hahah nahisi clemee ndo amemrudia wema wake maana alishasema kwa kajala alienda kukomoa so yameisha
Wema sa ivi anapedenzee hatari kuliko wa mwanzo mambo yake safi domo alilia mpaka machozi warudiane hadi katumia watu ndo kaenda kwa zari akifikiri ana mkomoa kumbe
Umezidisha unga Daimond hawez kuliaa
We si Una mahaba Niue au nikuwekee na evidence uamini ka mtoto
Niwekee kabisaaa wahiu
Source from insiders na waliohusika shogaaaa kiruuuu
Heheeeeee si kweli Daimond analiliwa halilii demu,,ashasema kazi ya moyo ni kusukuma damu kupenda ni kiherehere chako
Hukumbuki wema anavyomliliaga Dai, ,,hadi kurekodiwa anajipendekezaga anarudiwaaa anachapwa tu
Anaongea tu kwakweli michozi ishamtoka shosti unafikiri anaweza Ku confess hadharani weakness yake hayo ni maneno tu ya dai kujifariji watu wengi hawajui undani wa issue yake
Ndo nasema labda Daimond wa Masaki sio huyu wa Tandale alilie demu
Huyu huyu was Tandale moja chezeiya waeneza ubuyu mwanzo nilikua nafikiri hivo been baada ya kupata information kwenye source makini woiii ngachoka kabisaa
Yani inauma sana mtu mzima kama yeye kufanya upuuzi kama huu kwa ajili ya attension just imagine angekuwa dada yako sijui hata unamuangaliaje ni aibu anatia hasira
Don tell me ndo alietoa ule mkoko, wamerudiana?
Wema sa ivi anapedenzee hatari kuliko wa mwanzo mambo yake safi domo alilia mpaka machozi warudiane hadi katumia watu ndo kaenda kwa zari akifikiri ana mkomoa kumbe
Umezidisha unga Daimond hawez kuliaa
We si Una mahaba Niue au nikuwekee na evidence uamini ka mtoto
Ndo nasema labda Daimond wa Masaki sio huyu wa Tandale alilie demu
Ndo maana ile walipokuwa wameachana mara ya kwanza, Diamond aliamua kumrekodi Wema. Walikuwa wanasema hivi hivi kwamba eti Diamond alikuwa anamlilia Wema, akaona afanye ushenzi ili kuonesha ni nani anamlilia mwenzake!! Wale wale waliokuwa wanasema Diamond alikuwa anamlilia Wema, wakageuka na kusema Diamond amemdhalilisha Wema kwa kumrekodi wakati alitaka kuweka kumbukumbu sawa...Umezidisha unga Daimond hawez kuliaa
Ndo maana ile walipokuwa wameachana mara ya kwanza, Diamond aliamua kumrekodi Wema. Walikuwa wanasema hivi hivi kwamba eti Diamond alikuwa anamlilia Wema, akaona afanye ushenzi ili kuonesha ni nani anamlilia mwenzake!! Wale wale waliokuwa wanasema Diamond alikuwa anamlilia Wema, wakageuka na kusema Diamond amemdhalilisha Wema kwa kumrekodi wakati alitaka kuweka kumbukumbu sawa...