Tyrone mofekeng
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 694
- 610
- Thread starter
-
- #41
Ila inasikitisha sana kua mtu kama Kiumbe moto na watu kama hao leo hawajulikani na mtu anaweza kuja kuongea atakavyo juu yao. Ilikua tuwape heshima. Tuwaenzi[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]mkuu unapata tabu kubishana na vijana wa bongo movie na bongo fleva,wanachojua ni kujipodoa na kutundika picha Insta etc, Wenye kujua huu mchezo,tunaheshimu sana kujitoa kwa watu wa aina ya chief Kiumbe
Muai Thai....napenda sana steps zake,mazoezi yake ya viungo ni muhimu sana kwa afyaKidogo naona anapata kuperuzi ulimwengu wa martial arts ulivyo
hongera sana...ila Shaurinj, Karate, combat, Taekwondo, Muai Thai, Kung Fu, Gurujuuu....hiyo
tuliisha stafu kitambu kirefu.
Unanikumbusha Don Bosco,kisutu girls secondary, Russian culture, Kata raha bana ukiicheza hata kdgSensei Will Ringo...
Sensei Ramadhan....
Pamoja sana mkuu...Muai Thai....napenda sana steps zake,mazoezi yake ya viungo ni muhimu sana kwa afya
Umenikumbusha kucheza Kata hasa kwenye show za opening.Unanikumbusha Don Bosco,kisutu girls secondary, Russian culture, Kata raha bana ukiicheza hata kdg
Hatuna utaratibu wa kuwaenzi wanamichezo wetu,na hii hali ipo karibu kila sektaIla inasikitisha sana kua mtu kama Kiumbe moto na watu kama hao leo hawajulikani na mtu anaweza kuja kuongea atakavyo juu yao. Ilikua tuwape heshima. Tuwaenzi[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Ni kweli kwamba kwa sasa umri umeenda. Ila kama kungekua na utaratibu mzuri wa kutunza vipaji. Kwa kipaji alichopewa na mungu saa hizi kingesaidia vijana wanaovutiwa na tasnia hiyo.Kwani kipaji kimepotea...au uzeee ume mnyemelea.??
Sahih kabisa. Ila kuongeza tu , hiii michezo imekuwa modified na kupewa jina.Mkuu karate ni mchezo wa kijapani ambao unahusisha miondoko kadha wa kadha ya mikono katika kujilinda na kushambulia.
Judo nao ni mchezo wa kijapani ambao upo kama sumo ila huu una husisha kupigana lock, kuangusha angusha ni kama mieleka fulani hivi.
Kung fu - Huu ndio mchezo wa wanaume sasa asili yake ni China.
Kimuonekano ni soft sana lakini impact yake ni devastating.
Kwenye Kung fu ndio Unakuta forms aina mbali mbali kama shaolin ambapo ndani yake kuna michezo kama Snake, eagle claw, tiger claw, crane, mantis, monkey etc
Pia kwenye Kung fu inategemeana na mchezo wa sehemu na sehemu, koo na koo etc ndio maana kuna michezo kama drunken dragon (my favorite), Wing Chun (my favorite), Wu-Shu etc.
ambayo ilianzishwa na tamaduni za watu fulani.
Na mtu alie iva vizuri kwenye Kung fu karate na michezo mingine yote hawawezi kufua dafu hapo.
Mtu alie cheza Kung fu yeye na mchezo wanakua kitu kimoja.
Na walio fanikiwa kwenda deep kuna hadi UCHAWI humo.
Hahaha jamaaa una mbwwmbwe ila uki kutana na Nozo ukapigw uch uke mtu akinyanyuka jua ana muku au hajapigwa sahihiNikimpa Oezuki Chudan moja tu lazima akae...
hapo akiwa bado ana shangaa shangaa lazima nivute zero stance
kisha nimlamba Mawashageli gyakuzuki mpaka taya lote lisambaratike
Mnakumbuka rajabu juckchein? Alipanda jukwaani akaomba pambano na khalifa kiumbe moto. Siku ya pambano alipigwa round ya pili na akafariki. Sababu zikaongezeka za kufuta mchezo wa karate au kuwekewa sheriaMrembo tu huyo...ma sensei tumetulia na dani zetu za maana
ahaaaaaa...mjini hapa.Hahaha jamaaa una mbwwmbwe ila uki kutana na Nozo ukapigw uch uke mtu akinyanyuka jua ana muku au hajapigwa sahihi
Lile pambano halikuwa na vigezo vya kuwa pambano, hata ndondo cup ina utaratibuMnakumbuka rajabu juckchein? Alipanda jukwaani akaomba pambano na khalifa kiumbe moto. Siku ya pambano alipigwa round ya pili na akafariki. Sababu zikaongezeka za kufuta mchezo wa karate au kuwekewa sheria
Naweza kukupa namba ya khalifa au zaidi. Ila zaidi ambae ni mwanafunzi wa khalifa yupo arusha. amepewa kitengo cha kufundisha wana usalama. Khalifa umri umeenda sio sana kwenye kufundisha ila aweza kukupa vijana wake. Mzee mawala pia yupo kwa ushauriSahih kabisa. Ila kuongeza tu , hiii michezo imekuwa modified na kupewa jina.
Mfan karate na judo zimeungw pamoja na staili zingine, jeshini utakutana nazo hizi mkuu. Na kupewa jina kulingana na muasisi wa hiyo staili...
Just imagine mtu anaechez winchun awe mjuzi pia wa judo ukikaa nae kweny pambano tegemea combination nyingi za mapigo.
Sasa huyu akija mfundisha mtu ata mfundisha both at a time....
Win chan , wu shu, kombat miongoz mwa michezo ninayo penda sana.
Nawish nipate gwiji niweze advance zaidi
Combat killer ni nzuri sana.Sahih kabisa. Ila kuongeza tu , hiii michezo imekuwa modified na kupewa jina.
Mfan karate na judo zimeungw pamoja na staili zingine, jeshini utakutana nazo hizi mkuu. Na kupewa jina kulingana na muasisi wa hiyo staili...
Just imagine mtu anaechez winchun awe mjuzi pia wa judo ukikaa nae kweny pambano tegemea combination nyingi za mapigo.
Sasa huyu akija mfundisha mtu ata mfundisha both at a time....
Win chan , wu shu, kombat miongoz mwa michezo ninayo penda sana.
Nawish nipate gwiji niweze advance zaidi
Pale huwa huwa hatu defend bt niCombat killer ni nzuri sana.
Kuna jamaa yangu alikua expelled jeshini ambako alikua anachukua kozi ya ukomando hua anatupa tabu sanaPale huwa huwa hatu defend bt ni
ku eliminate the threat
Tafuta krav maga
Hahahaa....alikuw level gani????Kuna jamaa yangu alikua expelled jeshini ambako alikua anachukua kozi ya ukomando hua anatupa tabu sana
Kipindi cha sparring, kuna siku walipiga sparring na marehemu Mashali ilikua burudani sana.
Sema huu mchezo haufai kufundisha vijana watakua wakabaji.
Nafikiri ndio alikua anakaribia ku graduate...Hahahaa....alikuw level gani????
Una cheza mchezo gani wewe??Nafikiri ndio alikua anakaribia ku graduate...