Mkuu karate ni mchezo wa kijapani ambao unahusisha miondoko kadha wa kadha ya mikono katika kujilinda na kushambulia.
Judo nao ni mchezo wa kijapani ambao upo kama sumo ila huu una husisha kupigana lock, kuangusha angusha ni kama mieleka fulani hivi.
Kung fu - Huu ndio mchezo wa wanaume sasa asili yake ni China.
Kimuonekano ni soft sana lakini impact yake ni devastating.
Kwenye Kung fu ndio Unakuta forms aina mbali mbali kama shaolin ambapo ndani yake kuna michezo kama Snake, eagle claw, tiger claw, crane, mantis, monkey etc
Pia kwenye Kung fu inategemeana na mchezo wa sehemu na sehemu, koo na koo etc ndio maana kuna michezo kama drunken dragon (my favorite), Wing Chun (my favorite), Wu-Shu etc.
ambayo ilianzishwa na tamaduni za watu fulani.
Na mtu alie iva vizuri kwenye Kung fu karate na michezo mingine yote hawawezi kufua dafu hapo.
Mtu alie cheza Kung fu yeye na mchezo wanakua kitu kimoja.
Na walio fanikiwa kwenda deep kuna hadi UCHAWI humo.