Mcheza karate mahiri zaidi aliyetikisa mchezo wa karate Tanzania. Khalifa Kiumbe Moto (Chief Kiumbe)

mkuu unapata tabu kubishana na vijana wa bongo movie na bongo fleva,wanachojua ni kujipodoa na kutundika picha Insta etc, Wenye kujua huu mchezo,tunaheshimu sana kujitoa kwa watu wa aina ya chief Kiumbe
Ila inasikitisha sana kua mtu kama Kiumbe moto na watu kama hao leo hawajulikani na mtu anaweza kuja kuongea atakavyo juu yao. Ilikua tuwape heshima. Tuwaenzi[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Kidogo naona anapata kuperuzi ulimwengu wa martial arts ulivyo
hongera sana...ila Shaurinj, Karate, combat, Taekwondo, Muai Thai, Kung Fu, Gurujuuu....hiyo
tuliisha stafu kitambu kirefu.
Muai Thai....napenda sana steps zake,mazoezi yake ya viungo ni muhimu sana kwa afya
 
Ila inasikitisha sana kua mtu kama Kiumbe moto na watu kama hao leo hawajulikani na mtu anaweza kuja kuongea atakavyo juu yao. Ilikua tuwape heshima. Tuwaenzi[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hatuna utaratibu wa kuwaenzi wanamichezo wetu,na hii hali ipo karibu kila sekta
 
Mkuu karate ni mchezo wa kijapani ambao unahusisha miondoko kadha wa kadha ya mikono katika kujilinda na kushambulia.
Judo nao ni mchezo wa kijapani ambao upo kama sumo ila huu una husisha kupigana lock, kuangusha angusha ni kama mieleka fulani hivi.

Kung fu - Huu ndio mchezo wa wanaume sasa asili yake ni China.
Kimuonekano ni soft sana lakini impact yake ni devastating.
Kwenye Kung fu ndio Unakuta forms aina mbali mbali kama shaolin ambapo ndani yake kuna michezo kama Snake, eagle claw, tiger claw, crane, mantis, monkey etc
Pia kwenye Kung fu inategemeana na mchezo wa sehemu na sehemu, koo na koo etc ndio maana kuna michezo kama drunken dragon (my favorite), Wing Chun (my favorite), Wu-Shu etc.
ambayo ilianzishwa na tamaduni za watu fulani.
Na mtu alie iva vizuri kwenye Kung fu karate na michezo mingine yote hawawezi kufua dafu hapo.
Mtu alie cheza Kung fu yeye na mchezo wanakua kitu kimoja.
Na walio fanikiwa kwenda deep kuna hadi UCHAWI humo.
Sahih kabisa. Ila kuongeza tu , hiii michezo imekuwa modified na kupewa jina.

Mfan karate na judo zimeungw pamoja na staili zingine, jeshini utakutana nazo hizi mkuu. Na kupewa jina kulingana na muasisi wa hiyo staili...

Just imagine mtu anaechez winchun awe mjuzi pia wa judo ukikaa nae kweny pambano tegemea combination nyingi za mapigo.

Sasa huyu akija mfundisha mtu ata mfundisha both at a time....

Win chan , wu shu, kombat miongoz mwa michezo ninayo penda sana.

Nawish nipate gwiji niweze advance zaidi
 
Nikimpa Oezuki Chudan moja tu lazima akae...
hapo akiwa bado ana shangaa shangaa lazima nivute zero stance
kisha nimlamba Mawashageli gyakuzuki mpaka taya lote lisambaratike
Hahaha jamaaa una mbwwmbwe ila uki kutana na Nozo ukapigw uch uke mtu akinyanyuka jua ana muku au hajapigwa sahihi
 
Mrembo tu huyo...ma sensei tumetulia na dani zetu za maana
Mnakumbuka rajabu juckchein? Alipanda jukwaani akaomba pambano na khalifa kiumbe moto. Siku ya pambano alipigwa round ya pili na akafariki. Sababu zikaongezeka za kufuta mchezo wa karate au kuwekewa sheria
 
Lile pambano halikuwa na vigezo vya kuwa pambano, hata ndondo cup ina utaratibu
sio kupigana kama kuku wakutanapo.
 
Sahih kabisa. Ila kuongeza tu , hiii michezo imekuwa modified na kupewa jina.

Mfan karate na judo zimeungw pamoja na staili zingine, jeshini utakutana nazo hizi mkuu. Na kupewa jina kulingana na muasisi wa hiyo staili...

Just imagine mtu anaechez winchun awe mjuzi pia wa judo ukikaa nae kweny pambano tegemea combination nyingi za mapigo.

Sasa huyu akija mfundisha mtu ata mfundisha both at a time....

Win chan , wu shu, kombat miongoz mwa michezo ninayo penda sana.

Nawish nipate gwiji niweze advance zaidi
Naweza kukupa namba ya khalifa au zaidi. Ila zaidi ambae ni mwanafunzi wa khalifa yupo arusha. amepewa kitengo cha kufundisha wana usalama. Khalifa umri umeenda sio sana kwenye kufundisha ila aweza kukupa vijana wake. Mzee mawala pia yupo kwa ushauri
 
Sahih kabisa. Ila kuongeza tu , hiii michezo imekuwa modified na kupewa jina.

Mfan karate na judo zimeungw pamoja na staili zingine, jeshini utakutana nazo hizi mkuu. Na kupewa jina kulingana na muasisi wa hiyo staili...

Just imagine mtu anaechez winchun awe mjuzi pia wa judo ukikaa nae kweny pambano tegemea combination nyingi za mapigo.

Sasa huyu akija mfundisha mtu ata mfundisha both at a time....

Win chan , wu shu, kombat miongoz mwa michezo ninayo penda sana.

Nawish nipate gwiji niweze advance zaidi
Combat killer ni nzuri sana.
 
Pale huwa huwa hatu defend bt ni

ku eliminate the threat

Tafuta krav maga
Kuna jamaa yangu alikua expelled jeshini ambako alikua anachukua kozi ya ukomando hua anatupa tabu sana
Kipindi cha sparring, kuna siku walipiga sparring na marehemu Mashali ilikua burudani sana.
Sema huu mchezo haufai kufundisha vijana watakua wakabaji.
 
Hahahaa....alikuw level gani????
 
Sijawahi kujutia kuijua na kucheza wu-shu, ila kukaa kimya wakati mwingine ni zaidi ya busara, pengine inasaidia kujifunza na kujua mengi.
 
Back
Top Bottom