Mcheza karate mahiri zaidi aliyetikisa mchezo wa karate Tanzania. Khalifa Kiumbe Moto (Chief Kiumbe)

haya na wewe bwata sasa.. et na wewe unajua karate. em nenda kaharishe huko .hata wanajua hawapo kubishana hapa shwain
Naomba tuakate ubishi kirahiiiisi,tujitambulishe na tuulizane maswali tutaona karateka domo ni nani,
Mm nimecheza shotokan karate na Nina green belt nafukuzia blue,
Haya mwenzangu unacheza mchezo gani na upo level gani,
Tuanzie hapo kisha tuchimbe zaidi
 
Na ndicho kilichotokea kwa Marehemu Jimmy castro na Zero walianzia kutambiana mitaani wakaamua wakayamalize jukwaani .bahati mbaya sana organizer wote walikuwa ni mashabiki hakuna aliyefikiria madhara yatakayo tokea tena nakumbuka kwenye vile vichapo alikuwepo mzee makwaia wa kuhenga kama mgeni rasmi pale ddc magomeni kondoa .
Ndio maana walioiva mchezo ule kukurushia ngumi utasubiri sana mpaka utaamua kumtia kidole ndio utakuwa umelikoroga mazima!
 
Luckily but sadly nilihudhuria mapambano yote mawili nilikuwa team Zero na Khalifa !tena nakumbuka Khalifa alihudhuria tu pambano la castro na zero .baada ya castro kumfanyia humiliating defeat zero akaanza kutamba na kutusi team zero ndio Khalifa kwa uchungu akampa challenge castro na castro akakubali kichapo kukawa na sherehe kubwa manzese darajani na ilala pia huzuni manzese uzuri kwa castro.
 
Ila inasikitisha sana kua mtu kama Kiumbe moto na watu kama hao leo hawajulikani na mtu anaweza kuja kuongea atakavyo juu yao. Ilikua tuwape heshima. Tuwaenzi[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Mkuu hawajulikani humu tu lakini huko mitaani ni full respect!ila kitaifa hapana .
Watu wa rika la khalifa wapo bado na madojo pori mitaani kuna mmoja yupo face book fikiri kiringo (usimchanganye na sensei ringo)huyu anapiga refresher kwa wakongwe wenzake waliostaafu, kama mzee ulipitia na unataka kujikumbusha mtafute !
 
Yupo jamaa mmoja huko Musoma anaitwa Tumaini Kisubo, hapa Tanzania hakuna wa kumfikia labda China
 
Pale huwa huwa hatu defend bt ni


ku eliminate the threat


Tafuta krav maga
Krav maga u need to be real quick and precisely !moves zake ziko tight cordinated kwa full effect na iko very effective kwa wale vibaka wana ambush watu ovyo!
Kama umepitia martial art unaweza kujifunza on you tube tutorial nomechukua some nasty moves nimezimaster sijapata wa kumtest ila kama meinkempf atakubali my challenge i will be happy !
 
Nakubaliana na wewe kuna jamaa yangu alikaa china miaka 15 anaijua kung fu na aliwahi kuniambia kuna dawa huwa wanatumia mfano za kupaa
 
Mi nacheza mchezo wa hela .hata maadili ya michezo hii huyajui utabaki unachezesha miguu tu na viuno
 
Naona mkuu umeamua kunitajia jirani yangu kabisa(sensei ringo), sasa ana mwanae saivi kama hayuko china basi japani au bara europa anakinukinukisha kama vyoo vya baa ila hata me huu mchezo naupenda sana tatizo naogopa msamba tu ndo ugomvi wangu

Huu mchezo kwakifupi nauheshimu sana kwasababu nishawah shuhudia kakaangu akikalisha ffu 6 ila difwenda zilipojazana ikawa patashika nguo kuchanika

Salute kwa ambao mpo kwenye tasnia hiyo tayari.
 
Brother respect kwako sana.

Una jua martial art ni kama maji moto, ukiacha kuyachochoea yana poa.

Very impresed na nyie wakongwe , nimekubali facts na jinsi mlivyokuwa mnatoa details.

Una muda gani katika mchezo??

Mkanda sio ishu , zile dojo za mtaani zimetoa watu mafundi sana, sababu hiii michezo ni usahihi wa vitendo, nguvu, stamina na spid.


Academy nyingi sana wanazingua tofauti na zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…