popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,615
Naomba tuakate ubishi kirahiiiisi,tujitambulishe na tuulizane maswali tutaona karateka domo ni nani,haya na wewe bwata sasa.. et na wewe unajua karate. em nenda kaharishe huko .hata wanajua hawapo kubishana hapa shwain
Mm nimecheza shotokan karate na Nina green belt nafukuzia blue,
Haya mwenzangu unacheza mchezo gani na upo level gani,
Tuanzie hapo kisha tuchimbe zaidi