City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Mzambua Kalusha bwallya ni mmoja wa wachezaji bora kuwahi kutokea Africa hakucheza EPL, lakini mzambua patso. Daka kacheza EpL. Unataka useme Daka alikua bora kuliko kalusha bwallya?Kuna mbongo yupi aliewahi kucheza EPL katika historia ya mpira wa bongo nyoso .
Mcameroon Roger Milla ni mmoja wa wachezaji bora kuwahi kutokea Africa lakini hakuwahi kucheza EpL, lakini mcamerron choup moting kacheza EpL, unataka kusema Eric choup moting alikua Bora kuliko Roger milla.?