Kigoma Region Tanzania
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 230
- 611
Huyu ndio Mwana Kigoma
Makali ya Bernad Kamungo yalianzia hapa katika uwanja huu wa Nyarugusu, kwenye ardhi ya mkoa wa Kigoma.
Alizaliwa January 1, 2002, Kasulu kijiji cha Nyarugusu.
...........
Hapa ni Kigoma Kasulu,
Huu ndio uwanja wa Nyarugusu ambapo makali ya Bernard Kamungo yalianzia hapa, kwasababu yeye alizaliwa hapa Kigoma, ni Mwana Kigoma.
..........
Uwanja wa Nyarugusu Kasulu, uwanja uliomkuza na kumlea MwanaKigoma Bernard Kamungo.
................
Bernard Kamungo, namba 30 BHN
Hapa sasa alikua amefika Marekani kutokea Kigoma, Nyarugusu
................
Kwa mara ya kwanza Tanzania ikaanza kung'aa nchini Marekani kupitia michezo, Bernard Kamungo akaanza kuipeperusha bendera ya Tanzania na kugonga vichwa vya habari nchini Marekani. Huyu ni mwana Kigoma.
................
Wachezaji tisa wa Tanzania wanaocheza nje ya Nchi kwenye picha moja.
» Bernard Kamungo (jezi no 5)
'Mwenye bleach' kutoka katika klabu ya FC Dallas ya ligi kuu Nchini Marekani inakuwa mara yake ya kwanza kuitwa Taifastars
. Mtoto wa Kigoma
..................
Bernard Kamungo (Mtoto wa Kigoma, shujaa wa Lake Tanganyika) akiwa na Mbwana Samata katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania.
..............
Huyu ndio mwanakigoma na Mshambuliaji wa Kimataifa wa timu ya Tanzania anayekipiga katika klabu ya FC Dallas inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani, Bernard Kamungo ameendelea kuwa gumzo kutokana na uwezo wake ambapo aliifungia timu yake goli katika sare ya 4-4 dhidi ya Inter Miami CF anayochezea Lionel Messi.
Kutoka kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu mkoani Kigoma alikocheza soka mtaani hadi kucheza soka nchini Marekani, safari yake inaonekana kama filamu ya michezo yenye mabonde na milima.
Kamungo alisajiliwa Dallas FC mwaka 2022 ambapo yeye na familia yake walihamia Texas, Marekani mwaka 2016.
Nyota huyo ameendelea kuwa na msimu mzuri ambapo Januari 2023 aliitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania.
Kutoka kigoma Tanzania Hadi marekani na kuwa mfalme wa FC Dallas
Kutoka kucheza chandim Hadi kucheza na Lionel Andrés Messi, na kuonesha upinzani mkubwa walipokutana uwanjani.
Anaitwa Bernad Kamungo mshambuliaji wa FC Dallas na timu ya Taifa ya Tanzania.