macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kwani sheria (hata Tanzania) inazuia urafiki wa mwanamme na msichana mwenye miaka chini ya 18? Au neno urafiki ndilo lililokuchanganya? Hujui kuna urafiki bila kufanya mapenzi?Mchezaji mpira maarufu Sadio Mane juzi amefunga ndoa na mchumba wake. Binti mdogo mwenye umri Mwenye umri wa miaka 18
mwamba ameamua kuoa dogo dogo kuwahi bikira kabisa kabla wahuni hawajaitoa.
Cha kushangaza wanasema ni long time girl friend wake. Nawaza tu mahusiano walianza binti akiwa na miaka mingapi ?