Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

MaashAllah! Wanapendeza
Natumai huyu ndio yule Sadio alisema atakuwa Mchamungu na mwenye hofu ya Mungu.
Wamefanya sunna njema, ikawe kheri.
Hatari...jamaa anaenda katabutepe mwenyeweee. Tusake hela tuu bikra zipo
 
Wazee wetu wa kiswajili walikuwa wakiiva urafiki wanazawadiana mabinti. Nini cha ajabu hapo ?

Wamagharibi wenyewe wamehalalisha ngono toto( uboi frend na ugeo frendi) ila wameweka sheria za umri kutooana mepema.

Kwa kuiga tabia za wamagharibi kesi za kubakana zimekuwa tele kitu wmbacho sio sawa.

Eti binti wa miaka 17 ni mtoto, huu sio ugonjwa wa akili wa watu weusi kuiga iga mambo ya wazungu!

Huyo binti alieolewa na Sedio mwaka jana alikuwa mtoto ila mwka huu mkubwa kisa kafikisha miaka 18. Dunia ina uwongo sana!
 
Halafu vitu vingine vya ajabu, ameolewa na miaka 18 mnashangaa, hata akiwa na 16 kaishabalehe ana mahitaji ya kimwili ruksa, yaani binti wa miaka 18 kuolewa sio sawa, ila kutom..bwa, kuziniwa sio suala, abebe mimba azae na arudi shuleni, yani ni ruksa tu binti kutafunwa ila sio kuolewa.
😂🤣
Mkuu mawazo yako yamefanana na yangu.

Kuna wanawake eti wanaolewa wakiwa na miaka 27. Ndoa fake.

Sisi binadamu wa sasa UZOMBIE ni mwingi sana. Tunailazimisha nature ifuate tunavyotaka matokeo yake tunafeli.
Kuna mzee mmoja eti binti yake wa form 6 alipigwa mimba na jamaa. Mzee akamkamata akaenda kumfunga jamaa, mpaka leo huwa simuelewi kwamba hajui maumbile ya wanawake yanavyofanya kazi, halafu yule mtoto atamwambis nini kuhusu baba yake. Kuna sheria mpaka sasa zimefeli dhidi ya NATURE.
 
Ndio akili hiyo. Sasa wee siku hizi u akuja kuoa mwanamke ana miaka 28 kashatumiak weeeeee mpaka utamu wote umeisha🤣🤣🤣🤣
Tutarudi kule kwa mababu taratibu.

Kuna kijiji huwa nakitembelea vibintu vimeacha shule form 1 and 2+ vinapigana miti na kska zao vinapewa mimba vinabski na msala wa mtoto.

Natamani nione msomi mmoja nguli akifanya utafiti kuhusu hili suala la umri na kuolewa + shule. Naona siasa zinatawala badala ya uhalisia.
 
Wanawake wakubwa uzazi unasumbua..

Na wanakuja kwenye ndoa na trauma za mahusiano yao na ma X boyfriend kibao. Mwanamke wa miaka 28 kwa mfano ana wastani wa ma x boyfriend wasiopungua 10. Hapo hujaweka wale wa mechi za kirafiki
Hivi hao maex mnaowasemeaga huwa wanakuwa ni viumbe wa aina gani, maana kama ni wanaume basi nao wanapaswa watukanwe kwa kutembea na wanawake bila kuwaoa, anayetongoza na anayekubali wote wana makosa ila anayetongoza ndio ana makosa zaidi
 
Mchezaji mpira maarufu Sadio Mane juzi amefunga ndoa na mchumba wake, binti mdogo Mwenye umri wa miaka 18.

Mwamba ameamua kuoa dogo dogo kuwahi bikira kabisa kabla wahuni hawajaitoa.

Cha kushangaza wanasema ni long time girl friend wake. Nawaza tu mahusiano walianza binti akiwa na miaka mingapi?

View attachment 2866699View attachment 2866702
huyu jamaa sijawahi kumkubali, sio kwasababu ya dini wala chochote, ila huwa naamini deep from my heart kwamba jamaa ni bonge la mnafiki na anayependa kuigiza maisha ili aonekane mbele za watu. hasa alipoamua kutumia kisimu kilichochakaa sana wakati ana hela nyingi. hata hivyo ni maisha yake. tumwache.
 
Back
Top Bottom