Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
We sema kama umeishiwa hoja bana, na unfortunately hivi ndivyo wanaume wengi huishia kujibu pale mnapoulizwa maswali mazito kuhusiana na mahusiano, kila kitu mnakimbila mfumo dume sijui upumbavu gani na mnapingana na hali halisiYaani ww mweupe ni shindwe kujibu hoja zako, endelea kukaa na ujinga wako,ambao kwa ulimbukeni wako ndio unauona usasa.
Unaongea vitu vya kufikirika kutoka kuchwani mwako unazani unaikimbia reality.....mara Mfano hivi.......Mfano vile......
Sasa kwa kukusaidia tu fuatilia wataalam wanachotabiri kuhusu Vizazi vya sasa, Generation Z na Alpha na hivyo vinavyokuja ndio utaelewa ni wapi dunia inakoelekea, sasa ninyi endeleeni kujifajiri na maandiko yenu ya kutungwa hayo
Tunakoelekea wanaume msipobadilika hali itakuwa mbaya kwenu zaidi kuliko kwa wanawake, kwa sababu kamwe haitakuja kutokea wanawake kurudi enzi za bibi zetu hilo msilitegemee, meza zitageuka na hakuna kitu mfumo dume wenu utafanya