Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Halafu ukishajua jibu itakusaidia niniweendoa unaitaka huitaki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ukishajua jibu itakusaidia niniweendoa unaitaka huitaki?
Why?? Is everything personal? Mimi hapa mwakilishi wa mashangazi.Kama naiona mishangazi ya jf inavoupita huu Uzi kwa kusonya MKATA KIU
Unaanzisha hoja hata kuzitetea hujui, ww si umesema wanawake kadili umri unavyoenda hamu ya ndoa inaisha? Mimi nimekupa na reference ya kipindi cha NatGeo hosted na Mariana na sio hisia zako ulizo ziandika.Kama unalikataa hili,sijajua imani yako ila kama mkristo Nabii Isaya alisha izungumza "itafika kipindi wanawake sita watampigania mwanaume mmoja.......",sijajua hili nalo utalipinga,labda kama huamini.Sasa unafananisha kulalamika kuhusu usawa na kulalamika kuhusu kujitunza ndio maana nilikuambia ulitoka nje ya hoja, sababu mimi hoja yangu ilikuwa wanaume ndio wanaolalamika kuhusu wanawake kujitunza wewe ukaja na habari za Sikukuu na 50/50, malalamiko ya wanawake ni usawa tu na siyo kuhusu wanaume kujitunza kitu ambacho ndio nilikuwa nakiongelea mimi tangu mwanzo
So unataka kusema kwamba ndoa haina umuhimu kwa mwanaume ila ina umuhimu kwa mwanamke okay labda na mimi nikuulize ndoa ina umuhimu gani kwa mwanamke, jinsia yenu huwa mnajisifu kwamba mnatumia akili na siyo mihemko lakini kwenye mambo mepesi kama haya mnatumia mihemko badala ya akili, kwa akili ya kawaida tu jambo ambalo ili litokee lazima lihusishe jinsia mbili linawezaje kuwa na umuhimu kwa jinsia moja tu
Kama ndoa haina umuhimu kwa mwanaume unaweza kunipa sababu zenye mashiko kwanini wanaume tena wengi tu bado wanaoa tena wengine wanaoa hadi uzeeni, hao wanawake unaoona wanataka ndoa ni kwa sababu wanajua bado zipo na bado wanaume wanaooa wapo sasa jaribuni wanaume wote kukataa ndoa muone kama wanawake nao wataendelea kutaka kuolewa, ukiona ndoa imekosa umuhimu kwa jinsia moja basi automatically itakosa umuhimu na kwa jinsia nyingine hili wala halihitaji ufikiri sana mfumo dume usiwafanye muwe blind kiasi cha kutumia mihemko na nguvu hata kwenye mambo yanayohitaji kutumia akili ya kawaida tu
Ubaya sheria za kwao zinaruhusu kumuoa bintibwa miaka 16.. Halafu uchumba sio kugegedana, japo kwa dunia ya sasa ni ngumu, ika kuna watu wapo uchumba hawagegedani, hiyo kuonana tu mbinde.
Ndio nilisema kadiri miaka inavyozidi kuenda ndivyo wanawake wanavyozidi kupunguza desperation ya ndoa, kwa sababu wengi wameshaona kuwa wanaume wanakataa ndoa, hivyo nao taratibu wanaanza kujipanga namna ya kuishi bila kuolewa sijui unanielewa hapoUnaanzisha hoja hata kuzitetea hujui, ww si umesema wanawake kadili umri unavyoenda hamu ya ndoa inaisha? Mimi nimekupa na reference ya kipindi cha NatGeo hosted na Mariana na sio hisia zako ulizo ziandika.Kama unalikataa hili,sijajua imani yako ila kama mkristo Nabii Isaya alisha izungumza "itafika kipindi wanawake sita watampigania mwanaume mmoja.......",sijajua hili nalo utalipinga,labda kama huamini.
Mimi hoja ya sikukuu nimeejenga kukuonesha wakina nani wanalalamika,maana hoja ya malalamiko uliianzisha www (hivi unakumbuka unavyo viandika..... nijue na ongea na mtu wa namna gani).
Kuhusu kujitunza kwa mwanaume hilo sahau,sababu mwanaume ndiye anaye toa mahali(Africa)/propose(wazungu).So yeye ndiye mwenye final say na ndio maana nilikuambia "tumia akili na utashi wako kutunza usichana wako,sababu mwenye maamuzi juu ya mwili wako ni ww......" (hili nalo umesahau).Ukiataka mwanaume ajitunze labda utaratibu ubadilike na nyie mtoe mahali/propose. Mfume dume ulikuwepo na utaendelea kuwepo kwani hamna mbadala wa mfumo dume.
Hili swali nilikuuliza kupima ukomavu wa akili
"Kwani wewe kwa akili yao (nataka kukuona kama umepevuka)... ndoa ina faida gani kwa mwanaume..... na kwa nini mwanaume anatakiwa kuoa?"
Kweli wapo wanawake wanao hitaji ndoa,swali la msingi je wajibu wao kwenye ndoa wanaujua ni sawa na kutaka kitu ambacho hujui ndani kuna nini.
Ww unaonekana hata maana na wajibu wako kwenye ndoa huujui.
Happy New Year 2024 CocoI gesi ni nzuri inawajazia hisia na kukua kupendana kiukweli.
Unaanzisha hoja hata kuzitetea hujui, ww si umesema wanawake kadili umri unavyoenda hamu ya ndoa inaisha? Mimi nimekupa na reference ya kipindi cha NatGeo hosted na Mariana na sio hisia zako ulizo ziandika.Kama unalikataa hili,sijajua imani yako ila kama mkristo Nabii Isaya alisha izungumza "itafika kipindi wanawake sita watampigania mwanaume mmoja.......",sijajua hili nalo utalipinga,labda kama huamini.
Mimi hoja ya sikukuu nimeejenga kukuonesha wakina nani wanalalamika,maana hoja ya malalamiko uliianzisha www (hivi unakumbuka unavyo viandika..... nijue na ongea na mtu wa namna gani).
Kuhusu kujitunza kwa mwanaume hilo sahau,sababu mwanaume ndiye anaye toa mahali(Africa)/propose(wazungu).So yeye ndiye mwenye final say na ndio maana nilikuambia "tumia akili na utashi wako kutunza usichana wako,sababu mwenye maamuzi juu ya mwili wako ni ww......" (hili nalo umesahau).Ukiataka mwanaume ajitunze labda utaratibu ubadilike na nyie mtoe mahali/propose. Mfume dume ulikuwepo na utaendelea kuwepo kwani hamna mbadala wa mfumo dume.
Hili swali nilikuuliza kupima ukomavu wa akili
"Kwani wewe kwa akili yao (nataka kukuona kama umepevuka)... ndoa ina faida gani kwa mwanaume..... na kwa nini mwanaume anatakiwa kuoa?"
Kweli wapo wanawake wanao hitaji ndoa,swali la msingi je wajibu wao kwenye ndoa wanaujua ni sawa na kutaka kitu ambacho hujui ndani kuna nini.
Ww unaonekana hata maana na wajibu wako kwenye ndoa huujui.
Labda uelewa wako ila hiyo hali sasa ipo na ishaanza kujizihirisha.Isaya 4:1 "na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja..."
Huu naona ni mmoja wa mistari ambao wengi tumeutafsiri visivyo. Tunapenda sana kutumia mistari ya biblia kama prophecy ya wakati huu bila kuzingatia context ya wakati maandiko haya yameandikwa.
Niliona mahali katika bible study kuwa kipindi hicho wayahudi walikuwa vitani, ambapo wanaume wengi walienda vitani na kupoteza uhai. Hivyo kukaanza kuwa na uhaba wa wanaume, thus uhaba wa waowaji. Jamii ya kiyahudi wakati huo, ni heshima kwa mwanamke kuzaa, na pia kuzaa akiwa ndani ya ndoa, suala ambalo Isaya aliona itakuwa changamoto kwa wanawake wengi ukizingatia uhaba wa wanaume aliokuwa anauona unaenda kutokea kwa sababu ya vita.
Isaya alikuwa anatabiri tu kitu kilicho wazi kulingana na hali ya wakati huo, utabiri wa miaka michache ifuatayo, siyo karne kadhaa mbele.
Duh!..Mchezaji mpira maarufu Sadio Mane juzi amefunga ndoa na mchumba wake, binti mdogo Mwenye umri wa miaka 18.
Mwamba ameamua kuoa dogo dogo kuwahi bikira kabisa kabla wahuni hawajaitoa.
Cha kushangaza wanasema ni long time girl friend wake. Nawaza tu mahusiano walianza binti akiwa na miaka mingapi?
Mwamba kachukua mtoto mbich namba E kazaliwa 2005. Lakini utakuta kuna wanaume humu wanangangania single moms waliozaliwa 80s na 90s huko
Bado ananisumbua mkuu... Naona ananiletea kiwingu tu. 😀Vp yule single mother wako kaahirisha kuzaa na ww tena au[emoji23][emoji23]
Huenda ni uelewa wangu, ingawa siko pekee yangu. Naamini kuwa mambo mengi tunayachukua nje ya context ya wakati yalipoandikwa au kutamkwa. Kwangu mimi hili ni moja wapo. Kwangu mimi context huwa ni muhimu sana. Sikatai mitazamo ya wengine pia lakini.Labda uelewa wako ila hiyo hali sasa ipo na ishaanza kujizihirisha.
Halafu Isaya hajawahi kutabiri kitu kwa uwazi kama usemavyo, ingekuwa ivyo Wayahudi leo wangemsadiki Yesu ila mpaka sasa Wayahudi wanamkataa Yesu na kuna baadhi ya maeneo Wakristo wanabaguliwa na Wayahudi, kwani habari za ujio za Yesu ziliandikwa sana na Nabii Isaya ila katika lugha ya mafumbo.
Yaap hata mimi uelewa wako si ukatai ila neno nabii Isaya neno lake halikuwa wazi kama ingekuwa hivyo Wayahudi wangemwamini Yesu. Wayahudi Yesu wanamchukulia kama mtu maafufu na sio (Nabii,Kuhani,Mfalme,Mungu),kama tumchukuliavyo Wakristo.Huenda ni uelewa wangu, ingawa siko pekee yangu. Naamini kuwa mambo mengi tunayachukua nje ya context ya wakati yalipoandikwa au kutamkwa. Kwangu mimi hili ni moja wapo. Kwangu mimi context huwa ni muhimu sana. Sikatai mitazamo ya wengine pia lakini.
Wazungu wajinga sana...Kuna umuhimu gani kuandika binti wa miaka 18!? Kuna kitu kinatafutwa hapa.
Yes. Tuseme siyo kila alilotamka lilikuwa fumbo. Mengine yalikuwa mambo ya wazi tu ya kutumia akili ya kawaida. Kama hiyo effect ya wanaume kwenda vitani kufa na kuacha wanawake nyumbani...Yaap hata mimi uelewa wako si ukatai ila neno nabii Isaya neno lake halikuwa wazi kama ingekuwa hivyo Wayahudi wangemwamini Yesu. Wayahudi Yesu wanamchukulia kama mtu maafufu na sio (Nabii,Kuhani,Mungu),kama tumchukuliavyo Wakristo.
Shukurani, na kwako pia 🤗Happy New Year 2024 Coco
Kwani kwa sasa ukitizama uhitaji akili sana, hali unaionaje?Yes. Tuseme siyo kila alilotamka lilikuwa fumbo. Mengine yalikuwa mambo ya wazi tu ya kutumia akili ya kawaida. Kama hiyo effect ya wanaume kwenda vitani kufa na kuacha wanawake nyumbani...
Bado ananisumbua mkuu... Naona ananiletea kiwingu tu. [emoji3]
Sijui hali ilivyo kwa jamii ya kiyahudi ya wakati huu (coincidentally, inaonekana wameingia vitani tena, hivyo hali inaweza kujirudia kwa mtazamo wangu sasa, sawa sawa na karne yaliyopita) ila kwa context ya hapa kibongo-bongo, sioni maneno ya Isaya yakitimia kirahisi.Kwani kwa sasa ukitizama uhitaji akili sana, hali unaionaje?