Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Hahahaa kwanini wasema hivo?Ww ndo unamsumbua chief[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa kwanini wasema hivo?Ww ndo unamsumbua chief[emoji23]
Itakuwa kaogopa kufilisiwa mana hawa wazungu hawachelewi kumtia mtu umasikini hasa wakishaoana na ndoa yao ikafikia kikomo.
Mimi nayaona yashaanza kutimia kwa Tz bado,ila kupitia documentary niliyo iona NatGeo wakizingumzia umafia unaofanywa na Waghana kwenye online dating na ni swala la muda kufika huku Tz.Sijui hali ilivyo kwa jamii ya kiyahudi ya wakati huu (coincidentally, inaonekana wameingia vitani tena, hivyo hali inaweza kujirudia kwa mtazamo wangu sasa, sawa sawa na karne yaliyopita) ila kwa context ya hapa kibongo-bongo, sioni maneno ya Isaya yakitimia kirahisi.
Maanaya pumbu na ngai, ni pumbu zanguPumbu na ngai maana yk amana yako ya thamani ni pumbu 2
umeleta tafsiri za kishule.nimekupa tafsiri ya kihuni.Maanaya pumbu na ngai, ni pumbu zangu
Inabidi nifanye tafiti zaidi. Naomba unitumie links za hizo documentaries hata inbox nikajifunze mambo.Mimi nayaona yashaanza kutimia kwa Tz bado,ila kupitia documentary niliyo iona NatGeo wakizingumzia umafia unaofanywa na Waghana kwenye online dating na ni swala la muda kufika huku Tz.
Hiki kipindi kilikuwa kinarushwa na NatGeo na hakipo Youtube. Documentary hizi zina andaliwa na Mariana mara nyingi wana cover matukio ya hatari kama usafirishaji haram wa watu,utengenezaji wa dola bandia, uuzaji na usafirishaji wa dawa za kulevya,prostitution nk.Inabidi nifanye tafiti zaidi. Naomba unitumie links za hizo documentaries hata inbox nikajifunze mambo.
Miaka kadhaa nyuma niliangalia documentary ya 'soko la ndoa la China'. Wao walikuwa na tatizo tofauti, kwamba kwa kila wanawake 10 China, kuna wanaume 14 hivyo kupata mwanamke wa kuoa China ikaja kuwa biashara ngumu.
Kwenye town square kuna kamba kama za kuanikia nguo vimening'inia maelfu ya vikaratasi ambavyo ni CV za vijana wa kiume. Kijana anaeleza umri wake, kazi yake, mshahara, nk. Wadada na wazazi wa mabiti wanapita na kuvianua na kusoma hizo CV, wakiona ya kijana anayewafaa wanampigia simu na mipango inawekwa. Wanaume wenye hali chini ya kawaida/duni wakapata shida sana. Hali hii ikatengeneza mpaka biashara haramu ila inayolipa inayosababisha mpaka kutekwa kwa wanawake wa Vietnam na Laos ili wakaozeshwe China.
Je tunaweza kusema bado ni suala simple tu la "supply and demand"? Wanaume wakipungua kwenye jamii, wanawake wanasota kupata waume, na vile vile wanawake wakipungua, wanaume wanasota kupata wake.
Thanks. Kinaitwaje. Labda kuna wajanja wa kuvisaka vipindi kama hivyo kwenye ma torrents..Hiki kipindi kilikuwa kinarushwa na NatGeo na hakipo Youtube. Documentary hizi zina andaliwa na Mariana mara nyingi wana cover matukio ya hatari kama usafirishaji haram wa watu,utengenezaji wa dola bandia, uuzaji na usafirishaji wa dawa za kulevya,prostitution nk.
Trafficked jina la kipindi ila hiyo episode nahisi inaitwa online dating kama sikosei.Thanks. Kinaitwaje. Labda kuna wajanja wa kuvisaka vipindi kama hivyo kwenye ma torrents..
Thanks. Nitakipata tuTrafficked jina la kipindi ila hiyo episode nahisi inaitwa online dating kama sikosei.
Suala la trafficking nalo linasikitisha sana. Kama miaka 10 iliyopita nilisoma kutabu cha historia ya trafficking cha zamani sana mpaka title sikumbuki (the stolen ones, au the taken ones, something along those lines ila nimekitafuta online sijawai kukipata). Kilikuwa kinahusu system ya sex trafficking ya France na England karne ya 19 huko, sijui 1860s hivi, na ukisoma unaona mambo ya wakati huo hayana tofauti sana na ya wakati huu.Trafficked jina la kipindi ila hiyo episode nahisi inaitwa online dating kama sikosei.
Mimi sijapanic ila nakuonea huruma unavyo zihirisha ujinga wako. Eti mahali ni fidia.....khaaa halafu ww ndio mzazi wa kesho...........Asee mbona kama umepanic sana hadi unashindwa kujibu kwa utulivu maelezo mengi halafu unaishia kupuyanga tu hebu tulia andika taratibu bila jazba mzee
Sasa kama ndoa hazina umuhimu kwa mwanaume mnaoa kwa sababu gani mbona hadi sasa hujanijibu hapa bro is this question too difficult for you to answer
Okay kwahiyo unakubaliana na mimi kwamba wanawake wakijitunza automatically na wanaume watalazimika kujitunza ili waoe mabikira si ndio
Wewe maana ya neno fidia umeielewaje maana kwa muktadha nilioelezea neno linalotakiwa kukaa hapo ni hilo hilo fidia labda kama wewe una tafsiri yako nyingine
Wanawake wanataka ndoa kwa sababu hata wanaume nao wanataka ndoa ikitokea wanaume wakakataa ndoa basi wanawake nao wataacha kuzisaka ndoa
Dark webThanks. Kinaitwaje. Labda kuna wajanja wa kuvisaka vipindi kama hivyo kwenye ma torrents..
Maana nikupa mfano wa wahindi unarukaruka haya kwa kitumia maneno yao hapa ulimaanisha nini.Kama hujakubaliana na mimi basi nijibu swali langu, ikitokea wanawake ndio wameanza sasa kutumia hizo akili na utashi na kuamua kujitunza je wanaume mtafanyaje, mbona hili ni swali jepesi sana
Call it what you will ila lengo kubwa la mahari ni mwanamke kuondoka kwao, na kuenda kwa mume kuanzisha familia ambayo itakuwa chini ya mume, sasa sijui wahindi wanahusiana vipi na waafrika
Wewe umeenda mbali mi nakupa mfano wa hapa hapa tanzania, kuna makabila ambayo ni matrilineal pamoja na kwamba wanaume ndio wanatoa mahari, mfano wamakua and co huo nao ni mfumo gani
Mimi maswali mengine sikujibu nayaacha makusudi kabisa kwa sababu naona huna hoja, unazunguka sana mimi sijibu mradi tu nijaze comment iwe gazeti, ila najibu yale ya muhimu na yanayohusiana na hoja tu
Sasa kama unajua kuwa ndoa ni muhimu kwa wote, kwanini hoja zako zimekaa katika namna ambayo inaonesha kama vile ndoa ni muhimu kwa mwanamke tu, au husomi hata kile wewe unachoandika
Yaani ww mweupe ni shindwe kujibu hoja zako, endelea kukaa na ujinga wako,ambao kwa ulimbukeni wako ndio unauona usasa.Sasa mbona umekomalia hilo neno fidia tu au ndio unatafuta pa kutokea baada ya kuona umebanwa na hoja, nimekuambia mahari ina sababu nyingi mojawapo ni hiyo ya shukurani kwa familia ya mke na nyingine ni fidia ya kumtoa mtoto wao akaendeleze ukoo mwingine, fidia kwa kiingereza ni compensation nenda basi katafute hata maana ya neno compensation siyo unatolea mifano ya wahindi kwenye tamaduni za waafrika
Pale uliponiuliza umuhimu wa ndoa kwa mwanaume ni upi ulimaanisha nini au wewe unataka kusema hujui umuhimu wa ndoa kwa mwanaume, siyo lazima useme direct kwamba ndoa haina umuhimu kwa wanaume ila hoja zako zinaonesha kama vile ndicho unachomaanisha maana usingeniuliza swali la kipuuzi kama lile, ndoa zina umuhimu kwa mwanamke sawa tu na ambavyo zina umuhimu kwa mwanaume hapo hata huo mfumo dume wenu hauwezi kuingilia kati wala kuzuia hilo
Hata mimi niko makini na ninachokiandika na si kwamba sina majibu ya maswali unayoniuliza ila nakuona huna hoja unarukaruka tu kama kuku aliyekatwa kichwa, nilikuuliza mfano wanawake wote wakiamua sasa kutumia akili na huo utashi uliosema na wakaanza kujitunza wanaume mtafanyaje hapo umekwepa hilo swali unasingizia ni mfano sijui siyo reality, kama mnajua hiyo kitu in reality haiwezekani mbona mnalazimisha wanawake wajitunze ilihali hizo bikira ni ninyi ndio mnaozitaka