Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

Yaani ww mweupe ni shindwe kujibu hoja zako, endelea kukaa na ujinga wako,ambao kwa ulimbukeni wako ndio unauona usasa.

Unaongea vitu vya kufikirika kutoka kuchwani mwako unazani unaikimbia reality.....mara Mfano hivi.......Mfano vile......
We sema kama umeishiwa hoja bana, na unfortunately hivi ndivyo wanaume wengi huishia kujibu pale mnapoulizwa maswali mazito kuhusiana na mahusiano, kila kitu mnakimbila mfumo dume sijui upumbavu gani na mnapingana na hali halisi

Sasa kwa kukusaidia tu fuatilia wataalam wanachotabiri kuhusu Vizazi vya sasa, Generation Z na Alpha na hivyo vinavyokuja ndio utaelewa ni wapi dunia inakoelekea, sasa ninyi endeleeni kujifajiri na maandiko yenu ya kutungwa hayo

Tunakoelekea wanaume msipobadilika hali itakuwa mbaya kwenu zaidi kuliko kwa wanawake, kwa sababu kamwe haitakuja kutokea wanawake kurudi enzi za bibi zetu hilo msilitegemee, meza zitageuka na hakuna kitu mfumo dume wenu utafanya
 
Kwamba 18 yrs and old haliki?kama alikuwa anasoma sawa ila hasomi kashamaliza na ndio mwamba alikuwa analipa ada
 
huyu jamaa sijawahi kumkubali, sio kwasababu ya dini wala chochote, ila huwa naamini deep from my heart kwamba jamaa ni bonge la mnafiki na anayependa kuigiza maisha ili aonekane mbele za watu. hasa alipoamua kutumia kisimu kilichochakaa sana wakati ana hela nyingi. hata hivyo ni maisha yake. tumwache.
sizani ni kama mtu ambaye anafanya hivo ili apate sifa kwa watu magoli yake tu aliyekua anafunga anfield kwenye big game ni sifa kubwa tosha kwake kitu ambayo inabidi ufahamu yule jamaa ile ndio haiba yake ni mtu asiyependa makuu
 
Asicho kijua mtoa mada ni kwamba Legal Age of Marriage in Senegal is 16 years old. Au kwa lugha nyingine ni kwamba nchini Senegel umri wa mwanamke kuingia kwenye ndoa ni miaka 16.
Kwani Tz ni mingapi?
 
Halafu kuna kajamba nani, pangu pakavu utasikia mchumba hasomeshwi!!!
 
Hapo ndipo haswa kwenye mada lengwa, kwamba binti wa miaka 18 na nin demu wake wa kitambo tu.
Binadamu ni wanafiki tu na hasa kwenye hii dunia yetu ya sasa inayojifanya kujali sana wanawake.

Suala la umri limekuwa ni issue kubwa sababu Sadio Mane ana miaka 30+ ila kama huyo binti angeolewa na kijana hata wa umri wa 20 Wala hata isingeongelewa.

Na pia uliangalia kwa jicho la ndani zaid utaona Kuna chuki za kidini humo humo... Tunafahamu jinsi gani hawa wenzetu wanavyopingwa kwenye baadhi ya mambo.
 
Pia wanataka mabinti wakazwe na wakata majani na wameze p2. Ila kuolewa Bado mdogo! Ipi bora kuzaa mtaani au kuzaa kwenye ndoa
 
Jamii ya kisasa inataka kumpangia mwanaume ni mwanamke gani na wa umri gani anayestahili kuolewa na yeye na Iko sensitive sana kwenye suala la tofauti ya umri. Wakati huo hapo hapo inamsisitizia mwanamke kuwa Yuko huru kuolewa na mwanaume yoyote na muda wowote atakaokuwa tayari.

Leo mwanamke wa miaka 36 akifunga ndoa na kijana wa miaka 19 hakuna mtu atayepiga kelele kama hizo tunazoona kwa Sadio Mane na mkewe.
 
Jamani mbona wanawake wanapoolewa huwa hawaangalii how many pits you have dug in countless times, why blasting only them while praising the ones responsible for the digging, i have always failed to understand the logic behind this
Mwanamme huangaliwa sana future yake lakini mwanamke huangaliwa sana past yake.Hiyo ni nature
 
Mwanamme huangaliwa sana future yake lakini mwanamke huangaliwa sana past yake.Hiyo ni nature
Tofautisha kati ya nature na mitazamo ya jamii fulani, ingekuwa nature basi ingekuwa applicable kwa jamii zote duniani, hiyo ni mitazamo tu iliyojengeka vichwani mwa watu toka enzi na enzi na inaweza kubadilika
 
Back
Top Bottom