Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

Kwani sheria (hata Tanzania) inazuia urafiki wa mwanamme na msichana mwenye miaka chini ya 18? Au neno urafiki ndilo lililokuchanganya? Hujui kuna urafiki bila kufanya mapenzi?
 
Unawaza ngono

Sadio I aired patiently
 
Ha ha hapo penye long time
Ila inawezekana Mzee.
huwa inatokea sana mbona,,,,,, unakuta kuna katoto umekaacha Miaka kadhaa pengine unakaona kama kadogo Kako.....ila kenyewe kanakukubali hakasikii hili Wala Lile.....
mwanzoni unaweza chukulia poa tu ila muda unavyokwenda unaweza jikuta "hakuna mkate mgumu" from no weaaaa mnajikuta status imebadilka na maisha yanaendelea ....

Upo wap bint M..........aaaaah hakika nimekukumbuka sana .........tuliamini siku Moja ningekua kama sadio mane na wewe uwe kama mchumba wa sadio ila haikuwa hivyo.......muda uliamua yote ........ Ila popote ulipo lolote likupate........nimeshaoa kwa sasa mwingine Pambana na Hali Yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…