Mchezaji wa Simba hawezi kula bata kila siku na wachezaji wa Yanga akabaki salama

Class ya wachezaji wa yanga uwezi kulinganisha na wachezaji wa Simba ata siku Moja,,kushuka kwa viwango vyao akuondoi class waliyonayo ulijue hilo,,nitajie wachezaji wenu ata watano Wenye class kama wachezaji wa yanga!
Class class my foot...nyie semeni mlibahatisha tuu ila sio kwamba ndo mliwatolea hela unayosema ww...
Mchezaji expensive hapo kwn ni azizi..haya nambie mwingine..hao wengine viranga vyenu na mihemko kuwasajili eti kuikomoa simba...bado hamjamaliza madeni..mtakufa na madeni nyie...
 
Mpira ni biashara na biashara ni vita. Pamoja na urafiki lazima kuwe na mipaka ili uaminifu na weledi wa kazi ubaki. Maisha yana sheria zake ukijizima data utaumia.
 
Tulibahatisha kwani nyie mlikuwa vipofu kubahatisha? Kila msimu mnakuwa vipofu tu uoni mna shida mahala? 80% ya wachezaji wanaosajiliwa yanga wanaclick, wanaoferi ni wachache,,na ndio maana wakafanya vizuri misimu 3 mtawalia,,nyie mlikuwa mmelala ama? Si mlikuwa mnasajili? Baada ya hapo mafanikio yenu yalikuwaje?
 
Nimekuuliza na wakina mutale pia Wana urafiki na wachezaji wa yanga?
Kwa hiyo unalazimisha kisa nimemtaja Ahoua, wengine woote niwataje humo humo? Kichwa gani hiko unachotumia?

Kwanza kama wewe una shida zako na hao wachezaji wengine ungeanzisha wewe uzi wako usilazimishe hoja zako watu wengine waziongelee.
 
Hebu huko wanaclick nini?? Mmesajili miaka mingapi?.si ndo hawahawa mliobahatisha misimu hii 3 wamecheza mpk wamejizeekea..haya kama wameclick basi ndo kama hao mliowachukua kutoka simba naona wameclick...mmesajli misajili mingi mibovuu...boka,mmesajili kina nani walw hata kucheza hawakucheza..kina okra..na wengine nimewashau..
 
Uliangalia mpira au ulisimuliwa. Ngoma ni Kati ya wachezaji ealioonyesha kiwango kizuri mechi ya Jana Ila Ahoua na Kibu hawakujua kwanini wamepangwa
 
Ni mchezaji wa Orlando Pirates kuna tetesi kuwa anakuja kucheza Simba kwa Mkopo, na dili limebakisha asilimia ndogo kukamilika, so huyo ni uhakika kuja dirisha dogo labda itokee vinginevyo
Nilishawahi kusema Simba ichukue sana tahadhari na wachezaji wa Congo. Wameonyesha si wa kuwategemea sana hasa baada ya msimu 1 au 2 wakishaonyesha uwezo. Na kama ameshachezea Pirates kwenye CAFCL, sheria za CAF hazitambana akiingia Simba hili dirisha dogo ili kucheza CAFCC?
 
Uliangalia mpira au ulisimuliwa. Ngoma ni Kati ya wachezaji ealioonyesha kiwango kizuri mechi ya Jana Ila Ahoua na Kibu hawakujua kwanini wamepangwa
Mkuu Ngoma yuko vizuri ila kwa jana hakustahili kuchezeshwa Namba sita
 
Jamaa analewa sana na akina pacome nilimuonaga havoc night spot masaki akipata kitu pale

Kumbe kweli basi umesema ww mtani mzee wa bata basiiii...akae benchi kwa msisitizo..na kina pacome si washkaji zake kutoka Ivorycoast?
Angefanya hivyo mwishoni mwa msimu kwenye break labda kwa mbaaaali ningekubali ila katikati ya msimu uko vitani unaenda kulewa na washindani wako?
 
Kwangu mimi shida ni kocha,alianza na Chasambi,akaja Kwa Ngoma sasa amehamia Kwa Awesu,rotation zake and muda wa kufanya sub haviendani hata kidogo alianza vzr hata sub zilikua sinaeleweka sasa amelewa sifa hata haoni sijajua amechoka kwakua ukifanya kitu mfululizo akili inachoka
 
Wamejizeekea na kipigo umepigwa cha mbwa Koko mara 4 mfululizo,,utasema unayo timu wewe? Tokea muanze kusajili mmefanikiwa kwa wachezaji wangapi tuanzie hapo? Usajili Bora unaendana na mafanikio uwanjani sasa wewe misimu 3 yote unaishia patupu,,unaambulia nafasi ya 3 kucheza kikombe cha rede,,unaenda kusajili unaleta kina mutale na ahou eti ni vijana wa kusikilizia kama unga wa ngano,,ata kwa yanga hii iliyopunguza makali nitajie ni wachezaji wangapi wa Simba wanaingia kikosi cha kwanza cha yanga?
 
Sahihi kabisa, sub zake ziko random sana. Kuna mtu alisema labda ana mapungufu ya kusoma mchezo. Labda anahitaji sauti ya tatu kumshauri maana anaweza kuwa anapata upofu kutokana na mapenzi binafsi kwa baadhi ya wachezaji kutokana na ucheshi wao kwake nje ya uwanja. Hii ipo katika sehemu zote za kazi.
 
Kwa hiyo unalazimisha kisa nimemtaja Ahoua, wengine woote niwataje humo humo? Kichwa gani hiko unachotumia?

Kwanza kama wewe una shida zako na hao wachezaji wengine ungeanzisha wewe uzi wako usilazimishe hoja zako watu wengine waziongelee.
Wewe ajenda yako ni ya kuchafua watu kutafuta kichaka cha huruma na kusingizia vitu ambavyo avipo,,unazunguka zunguka tu badala ya kuwa muwazi kuwa mmeferi kwenye usajili mmesajili wachezaji wa viwango vya kucheza mechi za wakina mtibwa sugar unaanza kutafuta mtu wa kumuangushia zigo,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…