Mchezaji wa Simba hawezi kula bata kila siku na wachezaji wa Yanga akabaki salama

Nimekudharau kwa hoja zako mfu,,kwaiyo uwa mnafungwa na uchawi sio ubora? Kama uwa mnanunuliwa ili kuuza mechi basi inaonyesha ni kwa kiasi Gani amna viongozi Wala timu!! Kama yanga anawanunua kuanzia mhindi wenu mpaka mashabiki iyo ni hatari,,na wamewapiga mechi 4 mfululizo bado mmerizika tu kuendelea kuuza mechi zenu iyo si ni hatari!!
Kombe la looser ulishindwa ata kuvuka robo fainali ukaishia kuchoma moto uwanja wa watu,,Yani unapeleka ushirikina mpaka kwenye nchi za watu na bado ukatwangwa na kutupwa nje ya michuano,,kama unao ubavu na unaiamini timu yako fika fainali tuone waliyofika wenzako!
Inawezekana wewe una umri mdogo kiasi hujui kuwa Simba wameshacheza fainali kombe la CAF na kucheza nusu fainali klabu bingwa
 
Nilishawahi kusema Simba ichukue sana tahadhari na wachezaji wa Congo. Wameonyesha si wa kuwategemea sana hasa baada ya msimu 1 au 2 wakishaonyesha uwezo. Na kama ameshachezea Pirates kwenye CAFCL, sheria za CAF hazitambana akiingia Simba hili dirisha dogo ili kucheza CAFCC?
Kimvuidi hajacheza mechi za CAF kwa sababu tangu kuibuka k

Kinvuidi hajacheza CAFCL kwa sababu tangu aibuke Mofokeng anakula mkeka, Orlando kwa kujua uwezo wake wamekataa kumuuza bali kumtoa kwa mkopo
 
Kwamba kama ametoka nao uko ndio wamemfanya awe na kiwango kibovu? Ni lini uyo ahou wenu amekuwa na kiwango Bora tokea ameingia nchini ebu tuambie? Au kina Aziz ki tokea anashuka pale walienda kumpokea airport wakaanza kumfundisha starehe?
Taja mchezaji mmoja tu wa Yanga anayemzidi Ahoua kwa takwimu bora uwanjani,(goals and assissts).Watu wanapompopoa Ahoua wanajua kuwa anaweza kufanya zaidi ya afanyavyo.
 
Nimekudharau kwa hoja zako mfu,,kwaiyo uwa mnafungwa na uchawi sio ubora? Kama uwa mnanunuliwa ili kuuza mechi basi inaonyesha ni kwa kiasi Gani amna viongozi Wala timu!! Kama yanga anawanunua kuanzia mhindi wenu mpaka mashabiki iyo ni hatari,,na wamewapiga mechi 4 mfululizo bado mmerizika tu kuendelea kuuza mechi zenu iyo si ni hatari!!
Kombe la looser ulishindwa ata kuvuka robo fainali ukaishia kuchoma moto uwanja wa watu,,Yani unapeleka ushirikina mpaka kwenye nchi za watu na bado ukatwangwa na kutupwa nje ya michuano,,kama unao ubavu na unaiamini timu yako fika fainali tuone waliyofika wenzako!
Utopolo wangaaa
Dungadunga
Hatushindani ili tuwaonyeshe nyie..tunacheza kwa raha zetu..
Simba imeshafika fainali tafuta takwimu..bisha na hilo maana kichwa kigumu...
Hakuna ambacho mmefanya Simba haijafanya...
Naona nyie ndo mmekuwa washirikina promax...mnadaiwa na shekhe yule nani sijui hamjalipa deni lake...
Ee si hao kina Chama mliwalipa..nasikia na manula mkampa kianzio aachie tuu...
Muhindi mumnunue mna uwezo huo? Kwa hela za magodoro hahaah
 
Nilishawahi kusema Simba ichukue sana tahadhari na wachezaji wa Congo. Wameonyesha si wa kuwategemea sana hasa baada ya msimu 1 au 2 wakishaonyesha uwezo. Na kama ameshachezea Pirates kwenye CAFCL, sheria za CAF hazitambana akiingia Simba hili dirisha dogo ili kucheza CAFCC?
Wanasema huko kwenye timu yake hana namba huwa anasugua sana bench, na mpaka sasa hajacheza mechi yoyote cafcl, yuko vizuri lakini kwenye timu yake kuna walio vizuri zaidi yake
 
Kimvuidi hajacheza mechi za CAF kwa sababu tangu kuibuka k
Kinvuidi hajacheza CAFCL kwa sababu tangu aibuke Mofokeng anakula mkeka, Orlando kwa kujua uwezo wake wamekataa kumuuza bali kumtoa kwa mkopo

Wanasema huko kwenye timu yake hana namba huwa anasugua sana bench, na mpaka sasa hajacheza mechi yoyote cafcl, yuko vizuri lakini kwenye timu yake kuna walio vizuri zaidi yake
Kwani sheria za CAF zinasema lazima ucheze kabisa au kusajiliwa tu kunakubana?
 
Class ya wachezaji wa yanga uwezi kulinganisha na wachezaji wa Simba ata siku Moja,,kushuka kwa viwango vyao akuondoi class waliyonayo ulijue hilo,,nitajie wachezaji wenu ata watano Wenye class kama wachezaji wa yanga!
1.Ngoma kacheza raja na akachukua kombe la caf

2.Tshabalala beki bora wa muda wote wa kushoto ana robo 5

3.Kapombe ana robo 5

4.Ateba

5.Che malone fondoh

6.Camara
 
Umehangaika kumjibu huyo mwehu. Kuna wachezaji wanasugua benchi pale Simba ila wakienda Uto namba hawakosi. Manula, Kijili, Nouma, Chamou, Mzamiru, hawa wote wanaanza vizuri tu pale utopolo.
 
Hajitambui huyo jamaa
 
Sikiliza mzee mpira unahitaji nidhamu sana nje na ndani ya uwanja hata aisngekua karibu na Pacome lakin kama yeye na pombe tu usingeona chochote cha maana kwake..
Mpira ni biashara na biashara ni vita. Pamoja na urafiki lazima kuwe na mipaka ili uaminifu na weledi wa kazi ubaki. Maisha yana sheria zake ukijizima data utaumia.
 
Kwani sheria za CAF zinasema lazima ucheze kabisa au kusajiliwa tu kunakubana?
Sheria za CAF zinaruhusu hata kama mchezaji amesajiliwa lakini hajacheza hata mechi moja anaweza kusajiliwa na timu nyingine, pia hata kama alikuwepo kwenye sub lakini hakutumika anaweza kusajiliwa na kuchezea timu nyingine.
 
Attachments

  • Screenshot_20241210-130814.png
    Screenshot_20241210-130814.png
    921.7 KB · Views: 3
Sheria za CAF zinaruhusu hata kama mchezaji amesajiliwa lakini hajacheza hata mechi moja anaweza kusajiliwa na timu nyingine, pia hata kama alikuwepo kwenye sub lakini hakutumika anaweza kusajiliwa na kuchezea timu nyingine.
Hapo sawa. Nimekupata vizuri
 
Ahoua hakuna mchezaji, mimi nilimkataa hapa mwanzoni kabisa, sijui ndio kacheza mechi 2, tukabishana sana na wana simba nikisema mule hakuna mchezaji.

Anakosa vitu vingi mnoo, anaejua mpira anajulikana hata kama anaendekeza mambo ya nje ya uwanja, ile touch yake tu, vision yake, akili yake ya mpira, dribbling etc. Unajua humu mchezaji yumo, yule ahoua hata kama mie leo niingie uwanjani nicheze dk 15 mie nitaonekana bora kushinda yule, kifupi ajiongeze mnooo
 
Kwa upande wangu weakness zake kubwa nilizoziona ni kwenye dribbling na kufanya maamuzi ya haraka. Yuko too slow.

Kushindwa kwake kutumia kabisa mguu wa kushoto pia kunamlimit sana na kuathiri uwezo wake wa kudribble na kufanya maamuzi. Anadribble kwa mguu mmoja na akishageuka upande wake wa kulia, hageuki tena kuscan uwanja kuangalia option zingine pande zingine.
 
Kama mido wa ushambuliaji, huwezi kuscan, hutoboi pale kati
 
Ama kweli umbumbumbuni Kuna ma Mbumbumbu. Kama hufahamu maisha ya wachezaji na makocha ni ya kawaida kabisa na nitofauti na ushabiki wenu wa kishamba na chuki.

Wachezaji haijalishi mambo yenu ya timu pinzani, wao upinzani wao ni uwanjani tu na ndio maana mechi iki isha bila kujali Matokeo wanapongezana.
Na wanamaisha ya ukaribu Sana kuliko mashabiki.
Mbumbumbu mnafahamiana au siyo.level moja.
 
Back
Top Bottom