Wamejizeekea na kipigo umepigwa cha mbwa Koko mara 4 mfululizo,,utasema unayo timu wewe? Tokea muanze kusajili mmefanikiwa kwa wachezaji wangapi tuanzie hapo? Usajili Bora unaendana na mafanikio uwanjani sasa wewe misimu 3 yote unaishia patupu,,unaambulia nafasi ya 3 kucheza kikombe cha rede,,unaenda kusajili unaleta kina mutale na ahou eti ni vijana wa kusikilizia kama unga wa ngano,,ata kwa yanga hii iliyopunguza makali nitajie ni wachezaji wangapi wa Simba wanaingia kikosi cha kwanza cha yanga?