Kaka ongea japo kidogoPamoja na Uyanga wangu ila..
Acha tu nisikufuru uumbaji wa Mungu.
Na wewe tuwekee picha yako basi ili tukujadili. Maana isije ikawa na wewe mwenyewe kumbe ni MashaAllah!Hapa binafsi nilijua ni Azizi Ki akimpa mkono Che Malone. Lakini kumbe siyo.
View attachment 3276161
Hapa nilijua ni Drogber
View attachment 3276163
Lakini hapa ndio alinichanganya zaidi
View attachment 3276164
Mwandiko murua kabisa..!!Na wewe tuwekee picha yako basi ili tukujadili. Maana isije ikawa na wewe mwenyewe kumbe ni MashaAllah!
Kabisa yani yupo too soft hata akikanyaga biskuti haivunjiki
Kwahio umeleta mada tujadili maumbile ya mtu? wewe huo ufupi wako ulipenda kuzaliwa hivyo?Mimi sijasema kuwa kuna kosa.
Haya unayaleta wewe.