Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 2,180
- 3,477
Kama nimeona vizuri basi ni wawili hao wengine duuuuView attachment 3276521
Wakike wangapi hapo?
Kama nimeona vizuri basi ni wawili hao wengine duuuuView attachment 3276521
Wakike wangapi hapo?
Hakuna hormone itamfanya mwanamke kuwa mwanaumeHapo unaongelaa tabia . Acha kuchanganya mambo. Ushoga na usagaji ni tabia ambazo mtu anajifunza. Kinachoongelewa hapo ni watu wanaozaliwa na matatizo ya kijinsia au hormone ya jinsia nyingine na kufanya mtu aoneshe haiba ya jinsi nyingine fulani.
Mimi sijaongelea kuhusu mchezaji mkuuHiyo ni real sio AI
Kaangalie hata highlights za Azam
Praise to the lordHapa binafsi nilijua ni Azizi Ki akimpa mkono Che Malone. Lakini kumbe siyo.
View attachment 3276161
Hapa nilijua ni Drogber
View attachment 3276163
Lakini hapa ndio alinichanganya zaidi
View attachment 3276164