Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,921
- 2,551
Kanuni zilizongatiwa.Aibu ya mwaka, Wanawake wanaleta timu uwanjani ila wanaume wanakimbia.
Kanuni zilizongatiwa.Aibu ya mwaka, Wanawake wanaleta timu uwanjani ila wanaume wanakimbia.
Kumbe ni mfupi eeeh?Kwahio umeleta mada tujadili maumbile ya mtu? wewe huo ufupi wako ulipenda kuzaliwa hivyo?
Mbona humu watu wapo flex kujadili kipara cha Mutale wakipinga umri wake kuwa hauendani na umri alioajaza kwenye makaratasi?Kwahio umeleta mada tujadili maumbile ya mtu? wewe huo ufupi wako ulipenda kuzaliwa hivyo?
Guys nadhani ni kwasababu tu hamfuatlii soka la wanawake.Mtani mbona hata sikukutegemea au ndo utani?
Kama uko serious basi una safari ndefu sana.
Pierre Liquid a likeKumbe ni mfupi eeeh?
Aje nimpunguzie urefu kidogo. 😂😂
Lol.Mbona humu watu wapo flex kujadili kipara cha Mutale wakipinga umri wake kuwa hauendani na umri alioajaza kwenye makaratasi?
Manara ambaye mnamtumia saizi kwenye ajenda zenu za kuichafua TFF aliwahi kumuita Mwakalebela kuwa ana kilo 800.
Lakini mimi nimegusia kitu ambacho kipo common kwenye soka la wanawake na mifano ipo.
Karudie kusoma upya sakata la Barbra Banda yule mchezaji wa Zambia utaelewa dhumuni la hii mada yangu.
Hii ndio sports.
Kwa maana nyingine una dai Simba queens wamefungwa na mwanaume!?Guys nadhani ni kwasababu tu hamfuatlii soka la wanawake.
Kwenye soka la wanawake kuna kitu kinaitwa "gender regulations" kila mchezaji lazima apitie hivyo vipimo na anapaswa kufuzu kama kigezo pekee cha kumthibitisha.
Huyu hapa ni Barbra Banda View attachment 3276270
Barbra Banda hakuweza ku meet vigezo vya Gender verification na kufanya awe excluded kwenye Wafcon.
huyu kidume kabisa hata ungekuwa wewe unampiga pini
Kosa lake ni kuwakanda jana walipokutanaKosa lake ni nini? Mtu kazaliwa hivyo ulitaka afanye nini?
Mimi sipo huko kwenye kufungwa.Kwa maana nyingine una dai Simba queens wamefungwa na mwanaume!?
Mwanahamisi Omar ya Simba queens unamjua? mbona hakuomba fairness kwake?Mimi sipo huko kwenye kufungwa.
Najadili huu utata ambao uliwahi kuwatokea wachezaji wengine wa aina kama hii.
Kuna hormone levels ambazo zikizidi zinafanya mtu asiweze ku fit kwenye jinsia hizi mbili yani Male na Female.
Na FIFA wao wanataka kuwepo na fairness kwenye mashindano na moja ya mambo wanayoyatazama kama factor ni hilo la hormone levels na hermaphrodite ambayo iliwahi kumkuta mnigeria Ekaete Boniface.
umeshawah kumuona Clara luvanda mtanzania yule ss iv anacheza uarabuni sijui mexico uko hao wana hormones nyingi za kiume lkn jinsia zai ni Kikeni. kama Semenya wa South africa .Hilo dume dhahiri😂