Mchezaji wa Yanga Princess alivyozua gumzo na utata wa jinsia yake

Mchezaji wa Yanga Princess alivyozua gumzo na utata wa jinsia yake

Si umeona hata kifuani hapo hapako flat.

1742403477805.jpeg


Yule wenu kuanzia angle ya mwonekano wa kimaumbile ya kike yote yamemgomea na mpaka sauti bado ni ya kidingi.
 
Yanga Princess wenye sura za kike hawazidi wanne,wengine wote ni madume
 
Mimi sijasema hivyo na wala sijakusudia kumaanisha hivyo.

Ni katika tu kufikiria, iwapo ikatokea hiyo gender test je ataweza ku pass?

Kwasababu wote walioonekana kufeli hivyo vipimo anafanana nao kwa zaidi ya 80% kimuonekano.
Unamfahamu Tabitha Chawinga wa Olimpique Lyonnais?
 
Wanawake wanakuja geto... Mijanaume inakimbia...hii simba queen ibadilishwe iwe Simba ya wanaume 😂
 
Back
Top Bottom