Mchezaji wa Yanga Princess alivyozua gumzo na utata wa jinsia yake

Fanya ufanyacho lakini kamwe usikufuru uumbaji wa Mungu. Hata wewe unaweza kupata mtoto wa namna hiyo. Shukuru Mungu alitoka vizuri. Wengine wanazaliwa na changamoto za kijinsia
Changamoto za kijinsia kwa wanawake tu? Mbona wanaume wenye changamoto hizo hatuoni mkiwatetea? Ndo kwanza mna wananga na kuwapopoa.

UNAFIKI, UNAFIKI, UNAFIKI.
 
Ila Wabongo kwa UNAFIKI hawajambo, huyu mchezaji sijaona akihusishwa na u Lesbos, ila angekua mwanaume afu awe na muonekano wa kike, comments za kuhusisha u Gay zingeshushwa hapa hadi basi.

Hata uraiani, hukuti Tomboy akipopolewa, ila sasa Feminine Guy, wanavyo nangwa, na kunyanyaswa juu.

Mxxxxiiiiieeeew
 
Hata wanaume wapo pia wenye changamoto hizo
 
Ila Wabongo kwa UNAFIKI hawajambo, huyu mchezaji sijaona akihusishwa na u Lesbos, ila angekua mwanaume afu awe na muonekano wa kike, comments za kuhusisha u Gay zingeshushwa hapa hadi basi.

Hata uraiani, hukuti Tomboy akipopolewa, ila sasa Feminine Guy, wanavyo nangwa, na kunyanyaswa juu.

Mxxxxiiiiieeeew
Mwanaume anazaliwa mwanaume
Mwanamke anazaliwa mwanamke

Kujipa jinsia isiyo yako ndo ushenzi tunaupinga

Vijijini mbona hakuna wanaume kama wanawake au wanawake kama wanaume
 
A

Acha kuandika mambo usiyo yajua mkuu. Siku yakitokea kwako ndio utapata mfano mzuri wakuelezea
 
Mwanaume anazaliwa mwanaume
Mwanamke anazaliwa mwanamke

Kujipa jinsia isiyo yako ndo ushenzi tunaupinga

Vijijini mbona hakuna wanaume kama wanawake au wanawake kama wanaume
Em soma comment angu vizuri, afu itafakari na uelewe.

Huko vijijini pia wapo wanao zaliwa na changamoto hizo.
 
Nimezaliwa kijijini, naishi kijijini hakuna mtu alizaliwa shoga au msagaji

Kwa umri wangu miaka 33 Sasa sijawahi kushuhudia hilo tukio
 
Ndo tatizo la kukurupuka, narudia tena soma comment angu vizuri, au bado hujapata breakfast, bas ubongo umelala.
 
Nimekwambia hakuna sababu ya msingi mtu kujipa uhalali wa tabia za kishetani kama ushoga na usagaji
Mungu hajaumba shoga wala msagaji

Kuna jinsia mbili tu ME na KE
 
Nimezaliwa kijijini, naishi kijijini hakuna mtu alizaliwa shoga au msagaji

Kwa umri wangu miaka 33 Sasa sijawahi kushuhudia hilo tukio
Hapo unaongelaa tabia . Acha kuchanganya mambo. Ushoga na usagaji ni tabia ambazo mtu anajifunza. Kinachoongelewa hapo ni watu wanaozaliwa na matatizo ya kijinsia au hormone ya jinsia nyingine na kufanya mtu aoneshe haiba ya jinsi nyingine fulani.
 
Ila Wabongo kwa UNAFIKI hawajambo, huyu mchezaji sijaona akihusishwa na u Lesbos, ila angekua mwanaume afu awe na muonekano wa kike, comments za kuhusisha u Gay zingeshushwa hapa hadi basi.

Hata uraiani, hukuti Tomboy akipopolewa, ila sasa Feminine Guy, wanavyo nangwa, na kunyanyaswa juu.

Mxxxxiiiiieeeew
Una hoja, usikilizwe.
 
Back
Top Bottom