Mchezaji wa Yanga Princess alivyozua gumzo na utata wa jinsia yake

Ila AI muda mwingine ni ya kifala sana πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Hiyo ni real sio AI

Kaangalie hata highlights za Azam
 
Hapo unaongelaa tabia . Acha kuchanganya mambo. Ushoga na usagaji ni tabia ambazo mtu anajifunza. Kinachoongelewa hapo ni watu wanaozaliwa na matatizo ya kijinsia au hormone ya jinsia nyingine na kufanya mtu aoneshe haiba ya jinsi nyingine fulani.
Hakuna hormone itamfanya mwanamke kuwa mwanaume
Au mwanaume kuwa mwanamke
Kuna manawake wana ndevu ila wakubali jinsia zao na wako vyema tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…