round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
🤭Kuna muda inakera sana unakuta wachezaji wa timu nyingine hawapo loyal na team zao, timu ikifungwa wanachukulia poa tu, n.k.
Ukija upande wa Yanga hali ni tofauti, wachezaji wengi tumewaona wapo tayari kuifia uwanjani, wapo tayari kuvumilia kupigwa bench misimu nenda rudi kwa matumaini ya kuja kucheza, wapo tayari kulipwa kidogo ilimradi tu wauchezee Yanga
Labda ndio maana Yanga hata iwe vibaya namna gani haijawahi kushuka zaidi ya nafasi ya tatu.
Yanga pamoja na kutembeza kapu walikuwa wanashika nafasi ya pili hawashuki ya tatuHili swali nimekua nikijiuliza sana bila majibu, mfano ile yanga ya kina Boban
Yani kutoka sare na singida gate ndo mnaleta maneno ya uchochezi,je mgefungwa? Ligi bado sana banaKuna muda inakera sana unakuta wachezaji wa timu nyingine hawapo loyal na team zao, timu ikifungwa wanachukulia poa tu, n.k.
Ukija upande wa Yanga hali ni tofauti, wachezaji wengi tumewaona wapo tayari kuifia uwanjani, wapo tayari kuvumilia kupigwa bench misimu nenda rudi kwa matumaini ya kuja kucheza, wapo tayari kulipwa kidogo ilimradi tu wacheze Yanga, wachezaji wana hisia kali sana timu inaposhinda au kufungwa.
Labda ndio maana Yanga hata iwe vibaya namna gani haijawahi kushuka zaidi ya nafasi ya tatu.
Nyie ndio mkifungwa ama sare mnaporomosha matusi kwa wachezaji. Huyu Fadlu muda sio mrefu ataiona rangi halisi ya weKundu wa msimbaziSi wanawarushia majini ili waifie timu vizuri..
Huo upambanaji sikuuona walipocheza na MC Algiers. Walikuwa wanacheza kama wameshindaSiri ipo kwa uongozi na benchi la ufundi. Unapomtazama Mzize anapambana utadhani timu ya mjombaake ujue amekaa na engr Hersi akapatiwa maneno 'kuntu' yanayompa hamasa kubwa sana. Hata akiwa uwanjani akigeuka jukwaani anamwona Hersi yule pale! Unadhani ataacha kupambana? Kwa kifupi ukaribu wa uongozi wa timu na wachezaji ni jambo muhimu sana kwa team perfomance.Hata wewe ukiwa shule Headmaster akawa anakusimamia kazi fulani lazima utajituma tofauti ukiwa mwenyewe.
Kosa alifanya kocha kutokana na ugeni wake, kumuweka Pacome bench na kumchezesha Musonda. Ni kosa la kimbinu si kosa la timu nzimaHuo upambanaji sikuuona walipocheza na MC Algiers. Walikuwa wanacheza kama wameshinda
Hiyo ndio ikawafanya wengne wasipambane kisa pacome kaanzia benchi?Kosa alifanya kocha kutokana na ugeni wake, kumuweka Pacome bench na kumchezesha Musonda. Ni kosa la kimbinu si kosa la timu nzima
Thread closedSiri ipo kwa uongozi na benchi la ufundi. Unapomtazama Mzize anapambana utadhani timu ya mjombaake ujue amekaa na engr Hersi akapatiwa maneno 'kuntu' yanayompa hamasa kubwa sana. Hata akiwa uwanjani akigeuka jukwaani anamwona Hersi yule pale! Unadhani ataacha kupambana? Kwa kifupi ukaribu wa uongozi wa timu na wachezaji ni jambo muhimu sana kwa team perfomance.Hata wewe ukiwa shule Headmaster akawa anakusimamia kazi fulani lazima utajituma tofauti ukiwa mwenyewe.
Ubora wa mchezaji mmoja mmoja ni factot nyingine piaHiyo ndio ikawafanya wengne wasipambane kisa pacome kaanzia benchi?
Lilimkosa mayele jini ushungi la dhuluma.Si wanawarushia majini ili waifie timu vizuri..
Muulize vizuri kwani mchezaji ni pacome tu? Wengine hawawezi kuipambania timu?Hiyo ndio ikawafanya wengne wasipambane kisa pacome kaanzia benchi?
Timu ni muunganiko, mmoja akikosekana kuna kitu kinapungua kwa timu nzima, Pacome hufungua makufuli na Musonda anaingia ndani, kukosekana Pacome was a big mistake maana ndie huanzisha mashambulizi toka katikati , ngoja kwenye derby utamfahamu vizuri Pacome ana kazi gani uwanjani, naona penati mbili za Yanga kwenye derby, tena kipindi cha kwanza Yanga 3 kolo 0 na mbio zenu za ubingwa zitaishia hapo 8/3Hiyo ndio ikawafanya wengne wasipambane kisa pacome kaanzia benchi?
Yanga haijawahi kuwa nafasi ya 3Kuna muda inakera sana unakuta wachezaji wa timu nyingine hawapo loyal na team zao, timu ikifungwa wanachukulia poa tu, wachezaji wanarogana ndani ya team, n.k.
Ukija upande wa Yanga hali ni tofauti, wachezaji wengi tumewaona wapo tayari kuifia uwanjani, wapo tayari kuvumilia kupigwa bench misimu nenda rudi kwa matumaini ya kuja kucheza, wapo tayari kulipwa kidogo ilimradi tu wacheze Yanga, wachezaji wana hisia kali sana timu inaposhinda au kufungwa.
Labda ndio maana Yanga hata iwe vibaya namna gani haijawahi kushuka zaidi ya nafasi ya tatu.
Kuna siri gani wanaitumia Yanga ?