round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Kuna muda inakera sana unakuta wachezaji wa timu nyingine hawapo loyal na team zao, timu ikifungwa wanachukulia poa tu, wachezaji wanarogana ndani ya team, n.k.
Ukija upande wa Yanga hali ni tofauti, wachezaji wengi tumewaona wapo tayari kuifia uwanjani, wapo tayari kuvumilia kupigwa bench misimu nenda rudi kwa matumaini ya kuja kucheza, wapo tayari kulipwa kidogo ilimradi tu wacheze Yanga, wachezaji wana hisia kali sana timu inaposhinda au kufungwa.
Labda ndio maana Yanga hata iwe vibaya namna gani haijawahi kushuka zaidi ya nafasi ya tatu.
Kuna siri gani wanaitumia Yanga ?