Mchezo mchafu unaofanywa na benki kuwapora wateja pesa zao

Aisee ndio nasanuka kumbee equity wslinipigaga kwa style kitambo kdgo lkni pole 2 milioni sio poa
 
Equity hizi habari sijawahi zisikia. Sijui Kama bank zingine wanahuduma Kama ya equity.

Ukiweka hela ama hela ikiingia kwenye account yako sms inaingia amount iliyowekwa. Me nikiweka tu nasikilizia SMS na kuconfirm nayo ndo naondoka kwa teller.

Ama nikitaka kujua movement ya miamala yangu, App yao inasaidia sana. Inasema everything unapiga tu hesabu mwenyewe Kama kila kitu Kiko sawa if not inaonyesha ilitolewa wapi.
 
Aisee ndio nasanuka kumbee equity wslinipigaga kwa style kitambo kdgo lkni pole 2 milioni sio poa
Na hazikua zangu. You can imagine. Unapoteza imani ya mzazi hivihivi unajiona. Halafu yalikua masaa ya jioni muda wa kufunga. Kwahiyo akachukulia hiyo advantage. Nikikuambia nilikua rafu nilikua rafu kweli maana ilikua ya kukurupushana. Hii bank toka jamaa astaafu imekua hovyo sana. Nataman sana kujua adhabu wanapewa nini. Na inayopaswa ni kufukuzwa. Lazima ujitoe ufahamu.
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu, nilikuwa nasubiri jibu mujarabu kama hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hiyo inawezekana vp. Wakati bank statement ni automatically. Inatolewa na bank system na kwa vyovyote vile bank statement itaonyesha balansi halisi ya mteja. Labda kama kuna mtu wa bank alifanya fraud kwa kutoa pesa wakati mteja alikwisha fariki na hiyo Miamala ya kutoa ni lazima ingeonekana ndani ya bank statement. Kiufupi ulichokiandika hapa kina uwalakini..
 
Ni matatizo ya kawaida sana hayo kawaida... narudia; KAWAIDA SANA ndo maana kunakuwa na kitengo maalumu kwa ajili ya ku-doublecheck vouchers vs entries.

Sema kosa lake hapo ni moja! Katika hali ya kawaida hapo angekuwa na the so-called OVER ya Sh. 270K... enzi zetu, ukishakuwa na Over, haulali hadi uone imetokana na nini!

Moja ya sababu ya Over ndo hiyo... ku-drop Zero wakati wa ku-Type, kuweka DR wakati mtu kakupa pesa ya ku-deposit!!!

Sema vijana wa sasa, wakiona OVER, wanatia ndani huku wakijiandaa kurudishia mteja akija kushtuka!! But sometimes, yule anaye-doubleck akiwa mzembe, Over inaweza kuji-offset with what's so called SHORT!!
 
Unaongea as if upo ndotoni. Umefikiria vizuri kabla hujaandika mkuu?
 
Hata Tigo pesa ni hivyo hivyo, Nadhani dawa ni kumpa mke namba ya siri ya Sim banking, ili siku imetokea tatizo anatoa tu laini anaweka kwenye simu yake na kuuliza salio
 
Hili nalo neno
 
Haya mawazo duni sana, yaani wewe kuwa mwivi unadhani watu wote ni wevi...
 
Ni crdb?

Adhabu hawapewi coz teller na manager lao moja, ile hela huwa wanagawana
 
Naona unataka kuubariki uovu,hivi unazani watu wanafanana,kuna watu wanapata hela zao kihalali hawaibi hata senti ya mtu.Kwa hiyo style yako tutakuwa tunajenga kizazi cha ajabu sana cha wizi kilicho kosa uaminifu.
Huyo naye Ni mwizi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…