Mchezo mpya wa mademu wa siku hizi vipi umeusoma?

 
Kwani ile mbinu ya kukimbiza masela kwa kuomba pesa za kikoba wameacha?🤣
 
Kanuni ya kilegend nilifundishwa na mshikaji wangu mkali wa hizi kazi; alisema usitongoze mwanamke wala kuonyesha interest nae kabla hujaona kiu yake kwako kupitia macho yake! Utapoteza muda, utatendewa vibaya na utajipendekeza.
Utaomba namba na hutapewa, utaomba date hutapewa, hata ukipewa hutapewa ushirikiano wowote. It works 💪
 
Kuna sign flani utaoneshwa kwamba unaweza kuendelea au hataki mazoea unatakiwa uzielewe na uziheshimu.haitokusumbua ukilenga hukosi bila kutumia nguvu nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…