Kuna sign flani utaoneshwa kwamba unaweza kuendelea au hataki mazoea unatakiwa uzielewe na uziheshimu.haitokusumbua ukilenga hukosi bila kutumia nguvu nyingi
Heee nilikwambia wamekuharibu ukabishana sio kila mahali pa kutolea mboo
Eh Jaman sasa hapo kosa liko wapi? Huoni natoa nondo za kujilinda au?Heee nilikwambia wamekuharibu ukabisha
Kwisha habari yako...Eh Jaman sasa hapo kosa liko wapi? Huoni natoa nondo za kujilinda au?
ChaiTafuta hela.
Hii sasa inaitwa piga nikunyuke.Hujapenda.. shida ako unapenda kande sana
Hapana, bado nipo sehemu salama, n vyema tukiwekana Sawa boys to boysKwisha habari yako...
Midingi ya humu ishakuharibu uvulana wako kwa kukufundisha Mambo ya kikubwa
Nishakwambia usiwe unakaa nao ona sasa
Sasa mbona umetaja kiungo cha uzazi live liveHapana, bado nipo sehemu salama, n vyema tukiwekana Sawa boys to boys
Sorry mdada but Sometimes Inabidi iwe hvy ili tuelewane vzrSasa mbona umetaja kiungo cha uzazi live live
Kale kajamaa kanashaurig vijanamume huko insta kanaaa miwani nyeusi na dynamicmi microphone katafuteTawire tawire
Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo kutukomoa.
Vipi wakuu sie watu wazima embu tupeane tacticts, ni kawaida kukaa vikao pale janga jipya linapoarise.Tufanyeje pale unaomba namba thn ukipiga haipokelewi hata upige wiki? Ukizingatia kumn'g'ang'ania demu ni umama!
Sorry picha haihusiani na DIS
Mwanamme anatafutwa halazimishi kusikillzwa wewe.Tawire tawire
Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo kutukomoa.
Vipi wakuu sie watu wazima embu tupeane tacticts, ni kawaida kukaa vikao pale janga jipya linapoarise.Tufanyeje pale unaomba namba thn ukipiga haipokelewi hata upige wiki? Ukizingatia kumn'g'ang'ania demu ni umama!
Sorry picha haihusiani na DIS
Ungekuwa na hela wao ndio wangekuomba number faster, tafuta hela narudiaSasa hela inahusikaje ktk case yangu maana kama namba napata